kaka ustanie uraian kugumu mno nafaham ugumu wake mi pia muhitimu! lakini mwaka jana si uliona walivyozinguliwa tupo field/btp ndo wakatukuta ila mwaka huu inaweza kuwa disaster coz kuna kitu kura ya maoni yakatiba inahitaji mipesa kemkem.....
Tuvumilie kiongozi wangu panapo majaaliwa wizara itacheka
jamani si mlimsikia CAG,hadi akiishauri serikali itafute vyanzo vingine vya mapato,kuwa hali ya kipesa serikalini ni mbaya sana,jamani tuwe tunasikiliza habari na kusoma magazeti.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.