Serikali imeanza kupokea maoni kwa ajili ya uundwaji wa kanuni za sheria huduma za habari

aloyce ibra

Member
Oct 26, 2016
60
125
Nimefsrikijika sanaaaa kwa hii taarifa....wale wenzangu na mimi wa kusema hamkushirikishwa nafasi ndo hii muache porojo
 
Adolph hitler jr

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
1,897
2,000
Duuuh...!! yaani wanakumbuka shuka kumeisha kucha... Kwa hiyo tukitoa maoni hiyo sheria itarudi tena kuwa muswada na kupelekwa tena Bungeni..???....Kama hivyo vipengele vingejadiliwa bungeni kusingekuwa na mlolongo wa kuja tena kuomba ushauri mtaani......
 
luteadam

Member
Aug 10, 2015
72
125
Nimefsrikijika sanaaaa kwa hii taarifa....wale wenzangu na mimi wa kusema hamkushirikishwa nafasi ndo hii muache porojo
Km sheria ni mbovu uctegemee kanuni zitakua nzuri sababu kanuni hutungwa kwa kufuata sheria ili visikinzane. Kanuni na mpango wa namna ya kutekeleza sheria iliyokwisha tungwa. Hiki ni kiini macho na wakawadanganye watoto wenzao.
 
aloyce ibra

Member
Oct 26, 2016
60
125
Duuuh...!! yaani wanakumbuka shuka kumeisha kucha... Kwa hiyo tukitoa maoni hiyo sheria itarudi tena kuwa muswada na kupelekwa tena Bungeni..???....Kama hivyo vipengele vingejadiliwa bungeni kusingekuwa na mlolongo wa kuja tena kuomba ushauri mtaani......
Mzee acha kujiabisha...sheria ilipotishwa bila kanuni....now ndo muda wa kuunda kanuni ili iendane na sheria iliyopitishwa na sio kurudishwa tena bungeni.....hii jamii forum imebeba watu wa hovyo....hapa ndipo utajua wafuata upepo na wenye IQ zao...kama hujui kanuni zinaundwa baada ya sheria kupitishwa sasa hii sinishida
 
aloyce ibra

Member
Oct 26, 2016
60
125
Walitoa milioni 10 ili sheria ipitishwe haraka. Kwanini hawakusubiri maoni kutoka kwa wadau ili wapitishe sheria iliyo bora?
We naeeee...hebu jaribu kifikiri kabla ya kukurupuka kuandika ujinga....sheria inapitishwa halafu baadae wadau wanakutana kuunda kanuni ili ziendane na sheria iliyopo....msyuuuuu....we lazima utakuwa rangi ya kaki......
 
Adolph hitler jr

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
1,897
2,000
Mzee acha kujiabisha...sheria ilipotishwa bila kanuni....now ndo muda wa kuunda kanuni ili iendane na sheria iliyopitishwa na sio kurudishwa tena bungeni.....hii jamii forum imebeba watu wa hovyo....hapa ndipo utajua wafuata upepo na wenye IQ zao...kama hujui kanuni zinaundwa baada ya sheria kupitishwa sasa hii sinishida
We ndo unajiaibisha tena IQ yako naona inasoma negative....Hivi wewe unategemea sheria inapitishwa kibabe halafu kanuni ndo zije kuzungumziwa na nani.??...kwanin wao walioipitisha wasiunde hizo kanuni wakajihakikishia ushindi wao bila bugdha......acha unafiki hiyo sheria ni kandamizi.....sema namuelewesha -ve minded person .....Bora niweke music WAPI DARASA.....
 
Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
22,170
2,000
We naeeee...hebu jaribu kifikiri kabla ya kukurupuka kuandika ujinga....sheria inapitishwa halafu baadae wadau wanakutana kuunda kanuni ili ziendane na sheria iliyopo....msyuuuuu....we lazima utakuwa rangi ya kaki......
Wewe ni ke au me? Waliombwa mpaka January ili wadau wa habari waipitie vizuri na kujiridhisha nayo lakini serikali ikakataa ndio wakaipitisha kwa kuongo wabunge wa sisiem milioni 10 kila mmoja. Kwanini hawakusubiri kama walijua huo mswada wa sheria unamapungufu? Kwanini waliupitisha haraka na Rais akasaini haraka halafu leo wanataka kupokea maoni kutoka kwa hao wadau wa habari?
 
Mzee mbon mgumu kuelewa....mbon upo kwenye kiwango kikubwa cha ujinga labda niandike kwa herufi kubwa uelewe... SHERIA HAIPITISHWI NA KANUNI, BAADA YA SHERIA KUPITA NDIO WADAU WANAITWA SASA KUTOA MAONI ILI KUTUNGA KANUNI ZA KUONGOZA SHERIA ILIYOPITISHWA...NA SIO KWAMBA SHERIA INA KASORO NDIO MAANA MAONI YANAOMBWA...kama hujaelewa sasa itakuwa bahati mbaya...
 
Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
22,170
2,000
Mzee mbon mgumu kuelewa....mbon upo kwenye kiwango kikubwa cha ujinga labda niandike kwa herufi kubwa uelewe... SHERIA HAIPITISHWI NA KANUNI, BAADA YA SHERIA KUPITA NDIO WADAU WANAITWA SASA KUTOA MAONI ILI KUTUNGA KANUNI ZA KUONGOZA SHERIA ILIYOPITISHWA...NA SIO KWAMBA SHERIA INA KASORO NDIO MAANA MAONI YANAOMBWA...kama hujaelewa sasa itakuwa bahati mbaya...
Mkuu unaishi dunia ipi? Ile siku Rais alivyokutana na wandishi wa habari walimuomba awaongezee mda akakataa na akasema ikifika ofisini kwake atasaini.
Swali langu ni kwanini waliipitisha haraka wakati hawakuchukua maoni ya wadau? Wanachokifanya sasa hivi ndio walichoombwa na wadau wa habari.
 
Mp Kalix2

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
5,946
2,000
Nimefsrikijika sanaaaa kwa hii taarifa....wale wenzangu na mimi wa kusema hamkushirikishwa nafasi ndo hii muache porojo
Pamoja na Maumivu yanayoendelea nadhani JF c/o Mawakili wake hili watalishughulikia.

Na maanisha kuomba Court injection hadi Kesi ya Kikatiba kuhusu sheria maman ya Kanuni hizo itakaposikiliwa na kutolewa maamuzi haya mambo ya Kanuni yasimame.

cc. JamiiForums ,Maxence Melo Mzee Mwanakijiji nk.
 
Mwanapropaganda

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
4,240
2,000
Kama mchakato wa katiba mpya, waliuanzisha wao lakini kumbe walikuwa wameandaa rasimu yao, mwisho maoni ya wananchi wakayakataa na kuweka yao. Mnapoteza muda wenu bure kabisa kufuatilia mambo ya ccm.
 
Pascal Mzena

Member
Dec 16, 2016
11
45
We naeeee...hebu jaribu kifikiri kabla ya kukurupuka kuandika ujinga....sheria inapitishwa halafu baadae wadau wanakutana kuunda kanuni ili ziendane na sheria iliyopo....msyuuuuu....we lazima utakuwa rangi ya kaki......
Na wewe unachokasirikia nini?
My friend Usiforce tufanane
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom