Serikali imeamua kukarabati upya reli za zamani

Sam 2023

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
1,829
Reaction score
1,983
Habari za wakati huu wanajukwaa?
Serikali ya awamu ya tano imeamua kulivalia njuga suala la uchukuzi. Serikali imeamua kufanya marekebisho ya reli za zamani na kuhakikisha zinafanya kazi kwa ufanisi.

  • Reli ya kati
  • Mbali na ujenzi wa standard gauge serikali imeamua kuikarabati reli ya zamani (metre gauge). Ukarabati huu utahusisha uondoaji wa kokoto, kuondoa mataruma ya chuma yote, kuondoa sehemu ya chuma cha reli chenye ubora hafifu au chakavu na kuweka chuma kipya. Pia mataruma yataondolewa kwa kua mengi yalikua yamepanuka na kuongea umbali kati ya chuma hadi chuma na hivyo treni kushindwa kwenda kwa kasi kubwa zaidi. Pia kubadili mataruma na chuma cha reli kutaiwezesha reli kubeba uzito mkubwa kwa ekseli moja.
  • Kazi ya ukarabati inaendelea.

  • Manufaa ya ukarabati
  • Baada ya ukarabati kukamilika treni itakua na uwezo wa kukimbia kwa mwendokasi wa kilometa 70 kwa saa badala ya 35 km/h ya hivi sasa. Moja ya sababu inayozuiua treni kukimbia kwa 70km/h ni kutofautiana kwa ubora wa chuma cha pua na kutofautiana kwa upana wa reli kutoka chuma kimoja na kingine.
  • Reli ya Tanga Arusha.
  • Serikali imeamua kuikarabati na kuifufua reli ya Tanga Arusha. Baada ya ukarabati serikali imepanga kuongeza reli kutoka Arusha hadi Mara ili kuruhusu mizigo kuelekea nchini Uganda kupitia ziwa Victoria.
  • Hatua za ukarabati imefikia pazuri, changamoto kubwa ni watu waliojenga kwenye hifadhi ya reli. Serikali imeshatoa notisi (notice) kwa waliovamia kuondoka kwa hiari. Kazi ya ukarabati bado inaendelea.
  • Kazi inaendelea mataruma yanazidi kubadilishwa yanawekwa mapya.
  • Hayawi hayawi sasa yamekua ukarabati wa reli ya zamani ya metre gauge umezidi kupamba moto. Mataruma yote yenye hitilafu yanaondolewa, vyuma vya reli vyaa paundi 60 na 70 vinaondolewa wanaweka paundi 80.
  • Mbali na hilo chuma cha reli kinaunganishwa kutokea Dar hadi Isaka. Ujenzi umefikia Itigi.

Ukarabati wa reli ya Tanga Arusha umefikia hatua nzuri.
Sasa umefikia asilimia 80. Mwezi wa 9 treni ya mizigo itaelekea Arusha na kupokelewa na Rais JP Magufuli.
Kama kawaida chuma ni paundi 80 na spidi ni 70 km/h.

Kipande cha Moshi kimekamilika sasa imebaki kipande cha Arusha
 
Air Tanzania inaenda Mbeya kwa mbinde.
4 flights kwa wiki nzima za bombadier.
4x80 pax~320pax go and return.
(compare Fastjet 2flights EVERY DAY, 2x7x120pax~1680pax every week!)

TAZARA to Mbeya haimo kwenye ukarabati.
Kweli Kamwele anatusomesha namba.
Kaka tembea kifua mbele. Maendeleo ni hatua na hizi juhudi unazoona zinafanyika ndiyo hatua zenyewe.
 
mi nashauri tutandaze reli nchi nzima,kama JK alitandaza lami nchi nzima basi na sisi tumuonyee kwa kutandaza reli kila kona,simiyu,tarime,rukwa,murogoro etc, kwani what happen to standard gauge?au zitafanya kazi sambamba na reli za zamani?
 
Habari za wakati huu wanajukwaa?
Serikali ya awamu ya tano imeamua kulivalia njuga suala la uchukuzi. Serikali imeamua kufanya marekebisho ya reli za zamani na kuhakikisha zinafanya kazi kwa ufanisi.

  • Reli ya kati
  • Mbali na ujenzi wa standard gauge serikali imeamua kuikarabati reli ya zamani (metre gauge). Ukarabati huu utahusisha uondoaji wa kokoto, kuondoa mataruma ya chuma yote, kuondoa sehemu ya chuma cha reli chenye ubora hafifu au chakavu na kuweka chuma kipya. Pia mataruma yataondolewa kwa kua mengi yalikua yamepanuka na kuongea umbali kati ya chuma hadi chuma na hivyo treni kushindwa kwenda kwa kasi kubwa zaidi. Pia kubadili mataruma na chuma cha reli kutaiwezesha reli kubeba uzito mkubwa kwa ekseli moja.
  • Kazi ya ukarabati inaendelea.

  • Manufaa ya ukarabati
  • Baada ya ukarabati kukamilika treni itakua na uwezo wa kukimbia kwa mwendokasi wa kilometa 70 kwa saa badala ya 35 km/h ya hivi sasa. Moja ya sababu inayozuiua treni kukimbia kwa 70km/h ni kutofautiana kwa ubora wa chuma cha pua na kutofautiana kwa upana wa reli kutoka chuma kimoja na kingine.
  • Reli ya Tanga Arusha.
  • Serikali imeamua kuikarabati na kuifufua reli ya Tanga Arusha. Baada ya ukarabati serikali imepanga kuongeza reli kutoka Arusha hadi Mara ili kuruhusu mizigo kuelekea nchini Uganda kupitia ziwa Victoria.
  • Hatua za ukarabati imefikia pazuri, changamoto kubwa ni watu waliojenga kwenye hifadhi ya reli. Serikali imeshatoa notisi (notice) kwa waliovamia kuondoka kwa hiari. Kazi ya ukarabati bado inaendelea.

Ni wazo zuri sana
 
Tusisahau pia kuyakarabati maisha ya watumishi wetu wa umma na wale wa sekta binafsi kwa kuwapa stahiki zao ikiwemo nyongeza zao za mishahara, kuwapandisha madaraja yao; kuboresha maisha ya wakulima wetu kwa kuhakikisha tunawainua pale walipo kwa kuwapa ruzuku, kuwatafutia masoko, nk; kutengeneza mazingira rafiki kwa wafanyabiashara wetu ili waweze kulipa kodi kwa hiyari kwa kuwaondolea kodi korofi; kuwatafutia fursa za kujiajiri vijana wetu waliomaliza elimu za sekondari na vyuo ili kupunguza wimbi la ukosefu wa ajira kwa vijana, nk.

Nakumbushia tu ya kwamba maendeleo ni watu na vitu. Vinapokwenda vyote kwa pamoja, hakika kila mtu atakua ana furahia na kujivunia utanzania wake.
 
Habari za wakati huu wanajukwaa?
Serikali ya awamu ya tano imeamua kulivalia njuga suala la uchukuzi. Serikali imeamua kufanya marekebisho ya reli za zamani na kuhakikisha zinafanya kazi kwa ufanisi.

  • Reli ya kati
  • Mbali na ujenzi wa standard gauge serikali imeamua kuikarabati reli ya zamani (metre gauge). Ukarabati huu utahusisha uondoaji wa kokoto, kuondoa mataruma ya chuma yote, kuondoa sehemu ya chuma cha reli chenye ubora hafifu au chakavu na kuweka chuma kipya. Pia mataruma yataondolewa kwa kua mengi yalikua yamepanuka na kuongea umbali kati ya chuma hadi chuma na hivyo treni kushindwa kwenda kwa kasi kubwa zaidi. Pia kubadili mataruma na chuma cha reli kutaiwezesha reli kubeba uzito mkubwa kwa ekseli moja.
  • Kazi ya ukarabati inaendelea.

  • Manufaa ya ukarabati
  • Baada ya ukarabati kukamilika treni itakua na uwezo wa kukimbia kwa mwendokasi wa kilometa 70 kwa saa badala ya 35 km/h ya hivi sasa. Moja ya sababu inayozuiua treni kukimbia kwa 70km/h ni kutofautiana kwa ubora wa chuma cha pua na kutofautiana kwa upana wa reli kutoka chuma kimoja na kingine.
  • Reli ya Tanga Arusha.
  • Serikali imeamua kuikarabati na kuifufua reli ya Tanga Arusha. Baada ya ukarabati serikali imepanga kuongeza reli kutoka Arusha hadi Mara ili kuruhusu mizigo kuelekea nchini Uganda kupitia ziwa Victoria.
  • Hatua za ukarabati imefikia pazuri, changamoto kubwa ni watu waliojenga kwenye hifadhi ya reli. Serikali imeshatoa notisi (notice) kwa waliovamia kuondoka kwa hiari. Kazi ya ukarabati bado inaendelea.

wazo zuri sana
 
Baada ya kufanya tathimini ya kweli serikali inabadili gia hewani. Huu mradi wa reli mpya SGR unawaumiza vichwa maana uwezo wa kifedha wa serikali kuifikisha reli mpya SGR hata Dodoma ni ngoma nzito.
 
WFP yasaini mkataba wa ukarabati wa mabehewa 40. ikumbukwe WFP ndo mnufaika mkubwa wa TRC

Acha kujaza server, serekali haina fedha ya kufanya hiyo miradi inayosema. Sanasana wanadanganya wananchi ili waone kuna kinachoendelea. Kwa sasa ni aidha wasimamishe SGR inayosuasua ndio wafufue hizo reli. Kinyume na hapo hizo reli nyingine itabaki hadithi, na SGR mwisho ni Morogoro.
 
baada ya sgr kuanza kusua sua au bado ipo kwenye light track
SGR bado ipo kama kawaida ila lengo la kukarabati reli ya zamani ni kuiongezea ubora hasa wa mataruma na chuma.
Ikumbukwe reli ya kati pekee ndio inatumika kusafirisha mizigo ya WFP
 
Back
Top Bottom