Serikali ilichakachua ushauri wa Jaji Mkuu..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ilichakachua ushauri wa Jaji Mkuu.....

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutashubanyuma, Jan 2, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 419,797
  Trophy Points: 280
  Gazeti la mwananchi la leo linatupasha habari ya kuwa ushauri wa jaji Mkuu ambaye sasa ni mstaafu juu ya haki ya kuhoji Mahakama Kuu kuhusu matokeo ya kura ya uraisi yaliyotangazwa na NEC ilichakachuliwa na serikali............................

  Kwa mtazamo wangu...........................

  Swali ninalojiuliza ni kwa nini hizi hoja zinajitokeza sasa wakati jaji Mkuu mwenyewe kesha kustaafu na Chadema na Dr. Slaa wao kuingizwa mkenge juu ya katiba kuwazuia kuhoji matokeo ya Uraisi tafsiri ya mtaani ambayo haina mashiko ya kisheria ..............
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hata wakihoji hamna kitu hapo hii ndo tanganyika bwana ruta
   
Loading...