Serikali iko wapi? Wananchi wanaibiwa kila kona

Watanzania Msisahau Kitendo Hichi Kinaitwa KUCHAKACHUA, Very famous word enzi za utawala Ule.
 
Angalieni
TBS ni washenzi sana hawana kazi wanayo ifanya wanakula mshahara wa bure tuu , wizi huo upo kwenye vitu vingi sana na hata kwenye quality ya bidhaa hasa zinazo zalishwa na viwanda vinavyo milikuea na wachina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…