Ni kweli!..serikali imejaa mizengwe, uongo na ubadhirifu mkubwa sana wa rasilimali za nchi hii. Ukimuona mkuu wa nchi anavyo fanya safari za kianasa huko ughaibuni, au msafara wake napokuwa ana toka au kuelekea Bagamoyo utadhani ni raisi wa nchi yenye uchumi mziri sana. Angalia baadhi ya mawaziri wanavyo tumbua maisha ndani ya hoteli za madaraja ya juu, kisha geuka uangali hali ilivyo katika ofisi za umma, hospitali na zahanati au basi angalia hali ya shule za umma na kile kinachoendelea madarasani na matokeo ya mithani.
Kama hili halitoshi angalia mikutano ya ccm na kiwango cha rushwa, ngono na ushirikina katka uchaguzi, utaelewa kwanini wazazi wake walimwita jakayaaaaaa!..