Utakuta kwa mfano,
Madawa ya kulevya amekamatwa au Pembe za ndovu na mara nyingine hata taarifa kuhusu kukatwa viungo vya albino;
Kwenye Press Conference utasikia,
'Madawa ya kulevya ya thamani ya Shilingi milioni kadhaa AU Pembe za ndovu zenye thamani ya shilingi milioni kadhaa AMA Viungo vya albino vilivyokusudiwa kwenda kuuzwa Shilingi kadhaa'.
Na thamani zinazotajwa hapo ni mamilioni ya shilingi.
Ni maoni yangu kuwa matamko ama kauli hizi zinaamsha hamu ama ari ya kujaribu kufanya uhalifu huo kuliko kukomesha.
Suala la thamani lipelekwe mahakamani kuliko kuwa tangazo kwa umma.