Serikali ijenge hosteli kule Dodoma

Serikali ijenge hosteli kule Dodoma

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,784
Reaction score
6,178
Ili kupambana na changamoto za ukosefu wa fedha na ukata unaosumbua serikali ni muda muafaka sasa wabunge kukaa hosteli ili kuepusha gharama na starehe zisizo na ulazima. Ikumbukwe kuwa kule Dodoma wabunge wanaenda kwa mambo muhimu ya nchi na sio kufanya makazi.

Mbinu hii ina faida zifuatazo:

a) Kupunguza gharama za posho.

b) Kupunguza utoro.

c) Kuongeza umakini n.k

Nawasilisha.

allan.
 
watu wanataka POSHO, na wewe unataka kuwaweka kwenye mabweni kama wanafunzi - hiyo ni ndoto kwa Serikali ya CCM!!
 
watu wanataka POSHO, na wewe unataka kuwaweka kwenye mabweni kama wanafunzi - hiyo ni ndoto kwa Serikali ya CCM!!

mkuu, kumbuka pale wapo kwa muda tu why wasipewe hosteli?
 
wakae mabwenn navitanda vya dabo deka chakula wawe wanapikiwa kuwe nabasi lao sbb ya usafiri.posho wapewe 20alfu.
 
wakae mabwenn navitanda vya dabo deka chakula wawe wanapikiwa kuwe nabasi lao sbb ya usafiri.posho wapewe 20alfu
 
Nakubaliana kabisa na mleta hoja kutokana na umuhimu wa kupunguza POSHO
 
Ili kupambana na changamoto za ukosefu wa fedha na ukata unaosumbua serikali ni muda muafaka sasa wabunge kukaa hosteli ili kuepusha gharama na starehe zisizo na ulazima. Ikumbukwe kuwa kule Dodoma wabunge wanaenda kwa mambo muhimu ya nchi na sio kufanya makazi.

Mbinu hii ina faida zifuatazo:

a) Kupunguza gharama za posho.

b) Kupunguza utoro.

c) Kuongeza umakini n.k

Nawasilisha.

allan.

kwani hao wamekuwa madenti??
 
Walijengewa nyumba nyingi kisasa pale ni nzuri lakin hawataki zinatumika na wasio walengwa
 
Halafu idadi ya wabunge wakware iwe sawasawa na wabunge wa kike kama Rwanda.
 
Tukifanya hvyo tutapata wawakilish wakweli.wenye pesa uroho wadaraka na maprof hawatakimbilia huko.tutakuw n uchumi imar
 
Kweli posho ikibaki hata 20,000 tu,hakuna atakaekimbilia ubunge kimaslahi.
 
Back
Top Bottom