heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,019
- 13,266
Wanankumbi mko njema
Yule mwanasheria mbobobevu aliejinadi ataenda kumkamata Mange
Atatakiwa kuandaa mashtaka ya kwenda kuifungila CiNN kesi kwa kuchafua Taifa linalosadikika halifanyi uovu wa kibinadamu kwa Raia wake,
CiNN itabid kutozwa fain ya dolla billioni 10 hii itasaidi kupunguza deni la Taifa hilo na kupunguza ukali wa gharama zilizotumika ktka uchaguzi wa kusadikika uliotumia pesa nyingi kununua washangiliaji na washereheshaji.
CiNN Mjiandae kisaikolojia kuburuzwa mahakamani uko duniani timu itakuja ikiongozwa na Mwanasheria wetu Nguli
Nimesahau na ripoti ya BBC Pia ni uchochezi na uongo serikali hiyo itaifungulia mashtaka pia Bbc na kuidai fidia ya dola billion 10 woowhh gavo itaingiza jumla ya dola bl 20 za haraka haraka kwa maana wanakila sababu za kushinda kesi
Achilia mbali vyombo vingine kama Dw,Trt,VoA,pia serikali inatarajia kukusanya dola bl 30 kama compensation kwa vyombo ivyo kusambaza taarifa za uongo na uchochezi, kwa kuchapisha picha mjongeo za AI na baadhi ya Rai wakigeni walioingia nchini kufanya fujo
Hapo hapo seerikali itakusanya pia dola billion 20 kwa Ngos na mashirika yalio lipa waandamanaji nchini Tz sirikali itaamua kuyavalia njuga na kuyashati ktk nchi zao uko duniani walipe izo faini kwa kulichafua taifa
Kwa maana hiyo sirkil licha ya kuchamba tu itachukuwa hatua na kufungua kesi na itakusanya jumla ya dola billion 100 kama compensation hii itapelekea taifa hilo kuwa tajiri na kulipa madeni yote na chenji kuwapa maafusaa wa jeshi la polisi na wauaji ili warudie tena kuua ili wapate sababu ingine ya kudai fidia kwa mashirika hayo
Nchi hiyo ya ndani yake kuna nchi ndogo iliyojitangazia uhuru na kupata sarafu yake hivi karibuni inatarajia kuunda jeshi kwa ajili ya 9D nchi iyo ndogo yenye jina la kimar au Gaza inatarajia kuweka pasport mpya na kuendelea kujiimarisha