Serikali ifuge Bundi Shuleni!

Serikali ifuge Bundi Shuleni!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,301
Reaction score
17,386
Kutokana na Imani potofu tulizonazo juu ya ndege huyu Mzuri aina ya Bundi, ningeomba Serikali iamrishe Shule zote za Msingi ikiwezekana kunzia cheke chea wafuge huyu ndege aina ya Bundi, na watoto wafundishwe ya kwamba ni ndege mzuri na wa kawaida kama ndege mwingine wowote yule, watoto waruhusiwe kumshika na kumchezea kwa kufanya hivi nina imani kabisa hawa watoto wakikuwa wakubwa watakuwa hawana imani za kishirikina kama sisi tulivyo na labda pia itapunguza vifo vya watu wasio na hatia wanaouliwa kwa shutuma za kishirikina!

kwani imani potofu dhidi ya huyo ndege ni ipi?
kwani ushirikina ni imani potofu?
 
wewe ndiye uliyesema hujawah kutana na mtanzania mwenye akili?

ebu jitathmini wewe mwenyewe, je wewe una akili ngapi?
 
Kutokana na Imani potofu tulizonazo juu ya ndege huyu Mzuri aina ya Bundi, ningeomba Serikali iamrishe Shule zote za Msingi ikiwezekana kunzia cheke chea wafuge huyu ndege aina ya Bundi, na watoto wafundishwe ya kwamba ni ndege mzuri na wa kawaida kama ndege mwingine wowote yule, watoto waruhusiwe kumshika na kumchezea kwa kufanya hivi nina imani kabisa hawa watoto wakikuwa wakubwa watakuwa hawana imani za kishirikina kama sisi tulivyo na labda pia itapunguza vifo vya watu wasio na hatia wanaouliwa kwa shutuma za kishirikina!

Mshirikina mkubwa wewe!
 
Baadhi ya ndg zetu - Wafipa wanamsaka kwa udi na uvumba. Wanakula kuanzia mayai, vitoto, hata wakubwa. Kwani ishara ya ushirikina ni bundi tu??
 
Back
Top Bottom