Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,889
Ukienda kununua wambie wakupimie kg uone. Mimi nilianza na Oryx wakati naishi ulikuwa unakaa miezi nani ule mtungi wa 30.5kg, lakini nilipoanza kuishi na watu wengine yani tukawa watu watatu na mtoto mmoja, ukawa unakaa wiki 5 yani mwezi na wiki moja, ila nilienda badilisha nikakuta oryx hakuna kuna O-gas jamaa akanipa hiyo hiyo O-gas toka kipindi hicho ilikuwa mwez wa tano mwaka huu natumia O-gas, uzuri O-gas inauzwa 45000 huku ninakoishi wakati ryx ni 50000, na matumizi ni yale yale na inakaa wiki 5 pia.Mimi ni mmoja wa watumiaji wa mwanzo kabisa wa gas za majumbani za mitungi mara tu ilivyoanza kusambazwa...Ila katika siku za karibuni Kumekuwa kuna uhuni unafanyika kwa haya makampuni ya gas zinazotumika majumbani. Maana mtungi uleule wa kampuni lileile uliokuwa ukitumia kwa matumizi yaleyale ya nyumbani, kwa mfano ule mdogo ambao ulikuwa ukidumu let say kwa mwezi mzima, sasa hivi unaisha haraka tu ndani ya wiki mbili.Kama ni ule wa size ya kati ulikuwa ukidumu kwa miezi mitatu, sasaivi unaisha ndani ya mwezi mmoja tu! Hii inashangaza,inakuwa kana kwamba kuna uhuni unafanyikawanaweka gas nyepesi inayoisha harak, ili gas iishe haraka na waweze kufanya biashara zaidi..Naomba mamlaka za serikali zinazosimamia mambo ya gas lichunguze hili suala hili,maana sisi wananchi ndo tunaumia!
hahahahahahahaaaaaa,Mimi ni mmoja wa watumiaji wa mwanzo kabisa wa gas za majumbani za mitungi mara tu ilivyoanza kusambazwa...Ila katika siku za karibuni Kumekuwa kuna uhuni unafanyika kwa haya makampuni ya gas zinazotumika majumbani. Maana mtungi uleule wa kampuni lileile uliokuwa ukitumia kwa matumizi yaleyale ya nyumbani, kwa mfano ule mdogo ambao ulikuwa ukidumu let say kwa mwezi mzima, sasa hivi unaisha haraka tu ndani ya wiki mbili.Kama ni ule wa size ya kati ulikuwa ukidumu kwa miezi mitatu, sasaivi unaisha ndani ya mwezi mmoja tu! Hii inashangaza,inakuwa kana kwamba kuna uhuni unafanyikawanaweka gas nyepesi inayoisha harak, ili gas iishe haraka na waweze kufanya biashara zaidi..Naomba mamlaka za serikali zinazosimamia mambo ya gas lichunguze hili suala hili,maana sisi wananchi ndo tunaumia!
Na inabidi akumbuke kuwa gas wanajazia sehemu moja wenye kampuni wanamiliki mitungi tu hakuna gas nyepesi wala nzitohahahahahahahaaaaaa,
umenichekesha unavyosema wanaweka ile gesi nyepesi inayo isha haraka.
Gesi ya kwenye mitungi mnayotumia kupikia majumbani ni ile LPG(Propane +Butane). Gesi hiyo inapimwa kwa uzito (kg) hicho ndio kipimo rahisi kwasababu gesi haionekani hivyo ukiishindilia kwenye mtungi uliowekwa kwenye mzani utaona uzito unaongezeka. Basi kama imeisha haraka ujue wanawaibia, hawapimi uzito sahihi.
Inabidi mpeleke malalamiko EWURA, ili wakachunguze kwenye hayo makampuni.
Ewura ni ya Shabiby au Abood?Hiyo sio kazi ya serikali bali wewe mwenyewe unapaswa kureport malalamiko yako Ewura.
Makampuni yanajaza gesi yenyewe mkuu. Oryx gas wanajaza wenyewe sio kazi ngumu hats, Lake Gas pia wanajaza wenyewe mkuu.Na inabidi akumbuke kuwa gas wanajazia sehemu moja wenye kampuni wanamiliki mitungi tu hakuna gas nyepesi wala nzito
hiyo ni kazi ya taasisi husika ya serikali kuhakikisha mlaji analindwa,Hiyo sio kazi ya serikali bali wewe mwenyewe unapaswa kureport malalamiko yako Ewura.
Labda kama hili limeanza miaka ya karbuni ila miaka ya nyuma wote walikuwa wanaenda kujazia sehemu moja maana gas ilikuwa inakuwa importedMakampuni yanajaza gesi yenyewe mkuu. Oryx gas wanajaza wenyewe sio kazi ngumu hats, Lake Gas pia wanajaza wenyewe mkuu.
sasa mlaji asipoenda Ewura kupeleka malalamiko akiwa na ushaidi wa bidhaa husika atakua anapoteza muda wake bure.hiyo ni kazi ya taasisi husika ya serikali kuhakikisha mlaji analindwa,
ni kweli kwa namna flani, ila chukua mamlaka kama TFDA utaanzaje kupeleka malalamiko labda paracetamol unayokunywa labda haina ubora? kwanza utaanzia wapi kufahamu uborab wa dawa husika huda ujuzi wala vitendea kazi? kwahio Ewura na wao km mamlaka husika hilo ni jukumu lao la msingi kama vile wanavyofuatilia kwe mafuta, ingawa nakubali pia kupeleka malalamiko itasaidia sana utendaji waosasa mlaji asipoenda Ewura kupeleka malalamiko akiwa na ushaidi wa bidhaa husika atakua anapoteza muda wake bure.
Mimi ni mmoja wa watumiaji wa mwanzo kabisa wa gas za majumbani za mitungi mara tu ilivyoanza kusambazwa...Ila katika siku za karibuni Kumekuwa kuna uhuni unafanyika kwa haya makampuni ya gas zinazotumika majumbani.
Maana mtungi uleule wa kampuni lileile uliokuwa ukitumia kwa matumizi yaleyale ya nyumbani, kwa mfano ule mdogo ambao ulikuwa ukidumu let say kwa mwezi mzima, sasa hivi unaisha haraka tu ndani ya wiki mbili.
Kama ni ule wa size ya kati ulikuwa ukidumu kwa miezi mitatu, sasaivi unaisha ndani ya mwezi mmoja tu! Hii inashangaza,inakuwa kana kwamba kuna uhuni unafanyika wanaweka gas nyepesi inayoisha haraka, ili gas iishe haraka na waweze kufanya biashara zaidi..
Naomba mamlaka za serikali zinazosimamia mambo ya gas lichunguze hili suala hili,maana sisi wananchi ndo tunaumia!
Watanzania wengi hawana utamaduni wa kuwa na mzani nyumbaniWatu elimu ya gesi hawana ndio maana kila siku wanalalamika,unaponunua gesi hakikisha unapima tena kwenye mzani wa digital.Kwanini mzani wa digital ?kwasababu hauibiwi hata point 1,ununuaji wa gesi upo wa mtungi mdogo 6kg, mtungi wa kati 15kg na mkubwa 38kg.Kwahiyo unaponunua mtungi mdogo mathalani wa 6kg ,unachukua uzito wa gesi ambao ni kilo 6+uzito wa cylinder normally unakuwa kilo7 au 8 kwahiyo unachukua 6+8 =14kg,a wanandika kwenye cylinder Tare weight ujuwe ni uzito wa empty cylinder hapo una add uzito wa ges I unayo nunua.
Wasalam
Lini umeanza kula gas wewe? 😂hiyo ni kazi ya taasisi husika ya serikali kuhakikisha mlaji analindwa,
Apeleke WMAHiyo sio kazi ya serikali bali wewe mwenyewe unapaswa kureport malalamiko yako Ewura.