Serikali Iache Kamata Kamata Wapinzani

Serikali Iache Kamata Kamata Wapinzani

Acha kusema serikali inakamata wapinzani ni uongo serikali haikamati wapinzani bali inakamata wahalifu na wachochezi wanaotaka kuikoseha nchi amani hata ww ukifanya ujinga wenye element za aina hiyo utaenda geto ukakae na hao wenzio
 
itakuwa vigumu kwa wawekezaji kuja hapa Tanzania kama demokrasia itakufa

Kama tunataka demokrasia ili kuvutia wawekezaji basi bora udikteta.

Nilidhani tunadai demokrasia kwa manufaa yetu sisi wenyewe.

Wewe umefaidika nini na wawekezaji toka waletwe na Mkapa, umepata ajira ya kupasua miamba ya madini Bulyanhulu? We wa wapi wewe?
 
Acha kaujeuri kako kaki ccm! Maji taka ndo nini mupuuzi wewe!!!
Acha kaujeuri kako kaki ccm! Maji taka ndo nini mupuuzi wewe!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu Matiko Jr, umeniquote vibaya, nlikuwa najibu hoja ya king otaligambo hapo juu.. msingi wa hoja sisapoti kamata kamata kabisa... na pia sio kada wa hicho Chama cha mabepari
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kaujeuri kako kaki ccm! Maji taka ndo nini mupuuzi wewe!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kusema serikali inakamata wapinzani ni uongo serikali haikamati wapinzani bali inakamata wahalifu na wachochezi wanaotaka kuikoseha nchi amani hata ww ukifanya ujinga wenye element za aina hiyo utaenda geto ukakae na hao wenzio
Ina maana katibu mkuu wa Chadema alipokamatwa kwenye kikao cha chama chake alifanya makosa. Usiwe na fikira potofu Tanzania ni nchi ya amani na itaendelea kuwa nchi ya amani.
 
Wapinzani waache kejeli za kijinga na ulopokaji wa kijinga hakuna atakaye wafuata fuata. Washike adabu yao then no problem

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeanza kwa kumwambia huyo Magufuli aanze yeye kuchagua maneno anaoyoongea kwenye hadhara na achunge mdogo wake. Akifanya hivyo na wenzake wanamuheshimu. Vinginevyo ategemee mitusi zaidi dhidi yake
 
Wapinzani waache kejeli za kijinga na ulopokaji wa kijinga hakuna atakaye wafuata fuata. Washike adabu yao then no problem

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaumizwa na kejeli za wapinzani tuu lakini kejeli na matusi ya sizonje na wenzake unaona ni muziki mtamu!
Hivi maneno ayasemayo yeye wangesema wengine sio wangedungwa sindano ya sumu? Hivi fikiri maneno yale ya Mkapa ayatamke Mbowe kumwelekezea Rais atapona kweli?
Ajitambue na ataheshimiwa na watu watakacho weza Fanya ni kumpiga chini 2020
 
Siku hizi.wanalia lia.
Vyombo vya kimaifa vina mchafua magufuli.
Wakati alipo ingia ikulu walikuwa wakimsifu.
MKAWA MNAFURAHI.
NDO MJUE KUNA TATIZO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili jambo la kukamata viongozi wa upinzani na kunyima dhamana watu wenye kesi mbalimbali imeanza kuleta dosari kwa serikali ya awamu ya tano.

Mheshimwa Rais Magufuli angalia sana suala hili kwani imeanza kuweka dosari kwenye legacy ya utawala wako.

Unafanya mazuri kwa watanzania maoni ya wapinzani ni muhimu kwa kurekebisha mabaya kwenye serikali yako. Kumbuka ulivyomsifia Kafulila alivyoibua hoja ya Escrow wakati akiwa mbunge wa upinzani bungeni.

Tanzania ilikuwa ni nchi pekee kwenye ukanda huu katika kutimiza demokrasia ya kweli itakuwa vigumu kwa wawekezaji kuja hapa Tanzania kama demokrasia itakufa
Si kweli,hakuna nchi yenye demokrasia kama Kenya ukanda huu!Ukusema Tanzania nakushangaa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili jambo la kukamata viongozi wa upinzani na kunyima dhamana watu wenye kesi mbalimbali imeanza kuleta dosari kwa serikali ya awamu ya tano.

Mheshimwa Rais Magufuli angalia sana suala hili kwani imeanza kuweka dosari kwenye legacy ya utawala wako.

Unafanya mazuri kwa watanzania maoni ya wapinzani ni muhimu kwa kurekebisha mabaya kwenye serikali yako. Kumbuka ulivyomsifia Kafulila alivyoibua hoja ya Escrow wakati akiwa mbunge wa upinzani bungeni.

Tanzania ilikuwa ni nchi pekee kwenye ukanda huu katika kutimiza demokrasia ya kweli itakuwa vigumu kwa wawekezaji kuja hapa Tanzania kama demokrasia itakufa

Ushauri mzuri sana, but who cares!?
 
Back
Top Bottom