SERIKALI iache hima kuidhalilisha MAHAKAMA...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Kwanini ifanye hivi? Inakimbilia Mahakamani kusimamisha migomo ya kudai haki za Madaktari na Walimu.Mahakama Kuu inatoa amri kuzuia mgomo na kuwaamuru warejee kazini. Amri haizingatiwi. Inapuuzwa.

Dharau kwa Mahakama. Wakulaumiwa ni Serikali. Kwanini isitende haki kuzuia migomo ya mara kwa mara?

Viongozi waache wizi na ulafi kuilinda Mahakama yetu...
 
Back
Top Bottom