ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,356
- 4,626
Kama raia kuna wakti inabidi tuseme ukweli,zaidi ni lazima tuambiane ukweli na tuwaambie viongozi wetu ukweli.
Inakera sana kama taifa tunapewa majibu mepesi kwa maswali magumu bila kujali kwamba kwa kufanya hivo hatupeleki taifa Mbele.
Rafiki yangu Ben Saa Nane aliwahi kuniambia kwamba "We all have a purpose in this world and we must live by the purpose and die by the purpose.Happy is the person who can live for the purpose and die for that purpose"
Nimeamua kuweka maneno hayo rasmi ili watu waelewe kwamba Popote Ben alipo he lived with a purpose and died for that same purpose.Na mpaka leo serikali ya Magufuli haiachukua hatua yoyote ile kuhusu kupote kwa raia wake huyu.Ni aibu kwa srikali kutokujali uhai wa mwananchi wake.Miaka mitatu sasa na serikali imekaa kimya kabisa.Serikali dhaifu sana hii haiwezi kulinda raia wake bali inaoenkana inaweza kuwatisha.
Likaja Sakata la kina Roma Mkatoliki wakwakamata wakawatesa na kuwaachia na mpaka leo hakuna aliyechukuliwa hatua pamoja na ROma kuwa hai na salama.Hii sasa imekuwa ni srikali dhaifu haiwezi kulinda raia ila inaweza kuwafanyia ugaidi.
Yakaa mengi sana na yote hayajawahi kutatuliwa hata Akwilina aliyeuwawa kwa risasi za serikali bado hakupata haki yoyote.Naichukia Serikali yangu kwa kumuua dada yangu Akwilina mbele ya watu na bado kushindwa kumpa HAki.Inafikia wakati natamani Nchemba angevunjika Miguu kwenye ile ajali ile ajue kwamba "Karma is a bitch"
Likaja la Lissu nalo kila siku linazungushwa tu na kukwepwa kufanyiwa kazi.Serikali gani hii tuliyochagua.Serikali isiyo na uwezo wa kuwapatia wananchi haki.Serikal inayotaka Raia wawe waoga?Ole wangu mimi Iwapo niko sahihi
Nawaona viongozi wote kuanzia Rais,Spika na Mahakama wanakula tu kodi za wananchi bila wasiwasi wala kuwajibika na watanzania tumekaa kimya tunawatazama tu.
Ndugu zangu watanzania tunaoishi nyakati hizi.
Historia itatuhukumu tusipochukua hatua.Watoto wetu watashangaa sana kuona kuwe viongozi wetu hawakutimiza wajibu na bado hatukuwawajibisha.Kama ambavyo tunawashangaa wazee wetu waliouza utu wao zamani na sisi tutasemwa kama kizazi cha waoga,wazandiki,wanaojificha nyuma ya keyboard.
Nimemaliza na NImechafukwa
PS.Nasikia yamebaki manyoya huko kwa {Mchina}
CC.Mwakymango