serikali hii hotuba ya limumba hamjaipata

serikali hii hotuba ya limumba hamjaipata

black and white

Senior Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
102
Reaction score
26
Serikali hii hotuba ya lipumba inamalengo gani kwa taifa letu,siamini kabisa kama serikali mtalikalia kimya swala ili, watu wanapamba na kutokomeza udini yeye anazidisha udini.serikali sijui kama kunahaja yakuunda tume kuchunguza mpasuko wa udini kwani tunaushaidi tosha wa bwana lupumba.sasa niwakati wakumuadabisha.
 
Serikali hii hotuba ya lipumba inamalengo gani kwa taifa letu,siamini kabisa kama serikali mtalikalia kimya swala ili watu wanapamba na kutokomeza udini yeye anazidisha udini.serikali sijui kama kunahaja yakuunda tume kuchunguza mpasuko wa udini kwani tunaushaidi tosha wa bwana lupumba.sasa niwakati wakumuadabisha.
Broda, weka hata link ya hiyo hotuba...wasiojua alichoongelea wataona wewe ndio mchochezi!
 
serikali mkıkaa kımya nı wazı Lipumba ametumwa na ccm,ıtakuwa ni moja ya mbınu zenu kuwagawa watanzania sababu tu ya 2015.lakıni kumbukenı hakuna vıta mbaya kama vıta ya udıdı sıjua mtasema nını kwa mungu,haya maısha ya dunıanı nı yakupita tu,leo hıı wanasıasa wamegeuka kuwa vıongozı wa dını.
 
Kama hii ili kuwa ushirika wao ili kusaidiana kushinda uchaguzi, sasa wakemee ili iweje?
 
Serikali hii hotuba ya lipumba inamalengo gani kwa taifa letu,siamini kabisa kama serikali mtalikalia kimya swala ili, watu wanapamba na kutokomeza udini yeye anazidisha udini.serikali sijui kama kunahaja yakuunda tume kuchunguza mpasuko wa udini kwani tunaushaidi tosha wa bwana lupumba.sasa niwakati wakumuadabisha.
Bila shaka hii watakua wameipata ila waliokuwa hawajaipata na nivyema uwapatie ni ile ya Lowassa kuchangisha na kupiga kampeni Makanisani Pamoja na Samuel Sita kutangaza marafiki zake watakao gombania urais 2015 Pia Kanisani.Jitahidi uwapelekee Tafadhali.
 
Back
Top Bottom