SERIKALI HEBU ACHENI UTOTO !!

FENOVA

Member
Oct 1, 2016
55
107
IMG-20161231-WA0049.jpg
Huu Utoto kwa kweli Watanzania tunafanywa kama watoto wa chekechea tunachishwa kulia kwa biskuti na soda .....!!
 
Approach ya leadership ya Professor M ni very primitive and adhoc. Utadhani hana PhD vile.

Siamini kwamba EWURA na TANESCO hawajaishirikisha Wizara juu ya mchakato mzima waliopitia hadi maamuzi ya kupandisha bei ya umeme yakafikiwa.

Ninachokiona hapo ni Prof kutafuta sifa binafsi tu basi.

Bad enough, kwenye barua yake, hakuna nakala iliyotumwa kwenda TANESCO kwa ajili ya official information kitu ambacho ni hatari sana kiutendaji. Ikumbukwe kwamba EWURA kama Energy sector regulator alishaipa Tanesco ruhusa kwa mujibu wa sheria ya kupandisha bei ya umeme kwa asilimia 8.5.

Impliedly, Tanesco atakuwa tayari ameshabadilisha mifumo ya IT ya kubili na kuuza umeme ili iendane na mabadiliko haya.

Hii ina maana kwamba jambo hili litaleta taharuki na usumbufu mkubwa kwa Tanesco na Ewura. Imagine jana tr 31.12. 2017 ilikuwa ni jumamosi ambayo sio siku ya kazi na kama nilivyoainisha hapo juu, wizara haijawa-copy tanesco kwenye hiyo barua waliotuma Ewura ya kusitisha utekelezaji wa ongezeko la bei. This indicates very chaotic relationship kati wizara ya nishati na Tanesco.

Endapo ongezeko la bei lililopendekezwa na Ewura linaanza tr. 01 . 01. 2017, Basi usumbufu utakuwa mkubwa kwa Ewura na Tanesco kusitisha utekelezaji wa agizo la wizara kabla ya tr. 01. 01. 2017.

Nilichokiona hapa ni serious lack of coordination kati ya wizara, Ewura na Tanesco na kuna uwezekano mkubwa mtu/ watu wakatolewa kafara very soon. Stay tuned.
 
Tambua majukumu ya EWURA. TANESCO kwa umakini na kisha Uhusiano uliopo na Wizara ya Nishati usisahau vipengele vya kisheria kwa Taasisi zote hizo kisha uone kama Waziri Muhongo amefanya sahihi au la, vinginevyo utakuwa umekurupuka kama hao EWURA,
 
Back
Top Bottom