toa ushahidiSerikali imezidiwa na mzigo wa madeni, inakopa kila siku, hakuna namna mwananchi ataacha kuumia kwa uzembe wa serikali husika, hizo huduma zinazolipiwa ni matokeo ya uzembe wa serikali yenyewe, wanachojua wao ni kuchukua 10% kwenye mikataba.
Ushahidi umetapakaa nchi nzima ajabu unaniambia nitoe ushahidi!toa ushahidi
Hakikisha uyasemayo ni facts, na pia points zako ni dhaifu sana.
Wakati wa Elimu bure kwa wote na mambo mrngine yanaanza kuwa magumu kwa ulimwengu na uchumi wake. Bima inakuwa lazima dunia nzima na sio TZ tu.
Tufanye kazi kuwajengea watoto wetu tusingojee vya bure.
Sera inasema hivyo Ni mpaka ibadilike ndo ufanyike vinginevyo..Hivi serikali kwa kimya chetu mnadhani mmetushawishi? Hivi hata haya siyo ujanja ujanja wenu usio kubalika?
1. Malipo ya shule vyuo vikuu tunakolipa kupitia loan board 100% + interest. Kwa maana vyuo vya umma havina tofauti na vyuo binafsi.
2. Malipo ya hospitali ambapo dawa, kumwona daktari, kulazwa na hadi mortuary ni kulipia kibiashara kama ilivyo kwenye hospitali binafsi.
3. Sasa mnataka kushurutisha bima ya afya mkidai kuwa mmeona wazima na wagonjwa lazima wawe na bima eti kwa sababu mnapata hasara.
VIDEO: Serikali yafumua masharti saba bima ya afya kwa wote
Haya yote bila hata kugusia tozo za simu za Mwigulu na makando kando lukuki yenye kuhusiana na rushwa dhidi yetu huko TRA, Polisi, Mahakamani, LATRA, Ardihi, mahospitali, nk.
Hivi uwekezaji wetu nchini kama wananchi, walipa kodi na wadau kwenye taasisi na mali za umma uko wapi?
Kwamba maisha yaendelee hivi siku zote? Aaaah wapi!
Kwani ni onyo lipi ambalo hamkupewa?
Tofauti na kutesa kwa zamu nyie siku moja mtawajibika kama walamba asali na kuchonga mizinga.
-----
Serikali haipo kwa maslahi yetu bali kufanikisha upigaji wao
Sera inasema hivyo Ni mpaka ibadilike ndo ufanyike vinginevyo..
Kila kitu tukitaka bure ,Kodi za kugharamia hayo zipo?
Cheap is expensive
Ni muda muafaka sasa kwa waganga wa tiba asili za mitishamba kujitokeza gharama za hospitalini zimekuwa kubwa Sana na vipato vya wananchi ni vidogo sana
Niliona kule temeke wananchi wanalalamika gharama kubwa za matibabu, sijui kumwona daktari, vipimo, dawa na hiyo ni hospitali ya serikali inayoendeshwa kwa kodi za wananchi, kwenye vyuo vikuu vya umma vijana wanalipa sawa na vyuo binafsi kupitia loan board, yaani haionekani tofauti kwamba hiki ni chuo cha umma na hiki ni binafsi......wakianza kazi loan board wanawalundikia deni hadi milioni 30 kwenye salary slips zao.........yaani huduma ambazo zinatakiwa zitolewe na serikali kupitia kodi sasa na zenyewe zimekuwa za kumnyonga mwananchi........hii serikali ya kukopakopa imekuwa mzigo kwa wananchi.
Ushahidi umetapakaa nchi nzima ajabu unaniambia nitoe ushahidi!
Au wewe ni kipofu unatumia nukta nundu kuingia jf?!
Mwenye macho aambiwi tazama.toa ushahidi
Na wanvyozidi kukopa, ndivyo kiasi cha marejesho ya hiyo mikopo kinazifi kuongezeka.Serikali imezidiwa na mzigo wa madeni, inakopa kila siku, hakuna namna mwananchi ataacha kuumia kwa uzembe wa serikali husika, hizo huduma zinazolipiwa ni matokeo ya uzembe wa serikali yenyewe, wanachojua wao ni kuchukua 10% kwenye mikataba.
Na wanvyozidi kukopa, ndivyo kiasi cha marejesho ya hiyo mikopo kinazifi kuongezeka.
wakiendelea hivi, wataanza kukopa ili kulipia mikopo. Sitashangaa kama wameshafika hapa.