Serikali hapa ndipo inapokosea

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
3,612
2,000
Serikali inakosea sana kufanya maamuzi ya haraka,kiasi kwamba hata mtu anaevunja makosa kwa muda mrefu anakuja kuonekana ana haki mfano ni hawa machinga wanaokaaga na kuzunguka barabarani.

Huu ni mfano wa stand ya Msamvu Morogoro .Hakuna mipango wala mikakati ya kurekebisha au kuwaondoa mapema.
Wakizoea saaana mwisho siku wakiambiwa wavunje maeneo yao sio rasmi ni vita itatokea.
Leo tunashudia machinga wameanza kurudi tena sehemu zao za kujipatia riziki zao.
Kwa mtindo huu kweli tutafika au tutapiga hatua.?

Barabara ya Mandela maeneo ya Bakharesa,buguruni sokoni,ubungo,wanaonekana kurudi tena
 

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
3,612
2,000
Morogoro msamvu stand baada ya miaka fulani wataanza kuwahamisha kwa kuwa hawajaandaliwa mapema kuyapangilia mazingira yawe safi na kisasa.

serikali yenye short term plan.

hapo ndipo vita ya wafanyabiashara na serikali inaanza.
 

Attachments

 • 1401042005970.jpg
  File size
  55 KB
  Views
  50
 • 1401042067897.jpg
  File size
  49.6 KB
  Views
  45

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom