20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,261
Umewaza niwazavyo hakun msingi.....Kuna umuhimu gani wa kugundua hilo eneo la kati kati ya Tanzania? Serikali itafaidika na nini? Wananchi watafaidika na nini? Mimi nadhani kuna vitu vingine vya msingi na vya kuumiza kichwa lakini sio hili jambo!