Na kweli, kuna wengine wasiposafiri na "fastjet" wanaona kama hawajapanda "ndege".Maisha ya mbagala yashamuathiri mtoa mada kashazoea kupanda miusafiri ya kugombea hata umwambie kuna coaster/bombardier hakuelewi tuwaache wafu wazikane.
It's OK about Laws and Regulations; but if you've experienced poor service from that airline why bother? Next time you want to travel, book your tickets with another airline. That is what we call "free market". . ... Au uliandika hii "thread" ili tujue na wewe umesafiri na "FASTJET" msimu huu wa SIKUKUU.... Zile tickets zinazouzwa kwa "mafungu" kama nyanya. Cheap is expensive my friend.Pumbavu, we need to observe laws and regulations
Sasa nimeelewa, jamaa alinunua zile ticket za "mafungu" za mwisho wa mwaka na msimu wa sikukuu... na yeye apate kuhadithia kuwa amepanda "FASTJET".Jamaa hana muda wa kutest huduma. Ndo mara yake ya kwanza na gundu lake
Issue ni kuwa je Fastjet wanafuata sheria na taratibu? Isssue siyo mtu kutafuta usafiri mwingine!It's OK about Laws and Regulations; but if you've experienced poor service from that airline why bother? Next time you want to travel, book your tickets with another airline. That is what we call "free market". . ... Au uliandika hii "thread" ili tujue na wewe umesafiri na "FASTJET" msimu huu wa SIKUKUU.... Zile tickets zinazouzwa kwa "mafungu" kama nyanya. Cheap is expensive my friend.
Mwanamke utamjua tu sababu amezoea kupewa yeye anatoa uchi uchungu wa pesa ataujua wapi, endelea kugawa K bibie acha sisi tuchape kazi msife njaaIt's OK about Laws and Regulations; but if you've experienced poor service from that airline why bother? Next time you want to travel, book your tickets with another airline. That is what we call "free market". . ... Au uliandika hii "thread" ili tujue na wewe umesafiri na "FASTJET" msimu huu wa SIKUKUU.... Zile tickets zinazouzwa kwa "mafungu" kama nyanya. Cheap is expensive my friend.
kwani dhambi mkuu si kwa pesa yangu, mimi sikuwalazimisha hao Fastjet kuuza ticket za mafungu, acha ulofa mjini hapa utaliwa kibogaSasa nimeelewa, jamaa alinunua zile ticket za "mafungu" za mwisho wa mwaka na msimu wa sikukuu... na yeye apate kuhadithia kuwa amepanda "FASTJET".