Serikali ebu tangazeni ajira za maana

Serikali ebu tangazeni ajira za maana

Kila siku mtu ukiingia ajira portal ajira zilizopo ni za madereva, waendesha office,watendaji wa vijiji,walimu na wasaidizi wa kumbukumbu pekee,halafu waajiri ni halmashauri.
Ebu tangazeni ajira za maana kutoka taasisi za maana pia.
Hapo kwenye madereva naomba usipajumuishe kwenye lengo la uzi wako. Sababu halmashauri nyingi zinaomba kuajiri madereva kutokana na uhaba wa madereva wa ambulance, unaweza kuta halmashauri nzima ina vituo zaidi ya 20 vya afya na ambulance zipo ila madereva hakuna, inakuwa changamoto kuokoa maisha ya wananchi kutokana na uhaba wa madereva kwenye halmashauri hizo.
 
Back
Top Bottom