kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,508
- 4,362
Bwanamdogo kwa hiyo arrogance utapata kazi kweli? Hicho kitu gani cha maana kuliko wengine ulichosomaKila siku mtu ukiingia ajira portal ajira zilizopo ni za madereva, waendesha office,watendaji wa vijiji,walimu,na wasaidizi wa kumbukumbu,halafu waajiri ni halmashauri.
Ebu tangazeni ajira za maana kutoka taasisi za maana pia.
Hizo ndio Ajira zilizopo watoto wa Masikini wote wakajazane huko zile zenye ulaji wa maana hutoona wanazitangaza kamweKila siku mtu ukiingia ajira portal ajira zilizopo ni za madereva, waendesha office,watendaji wa vijiji,walimu na wasaidizi wa kumbukumbu pekee,halafu waajiri ni halmashauri.
Ebu tangazeni ajira za maana kutoka taasisi za maana pia.
Kuna baadhi ya watu waliofanya kazi huko wanashauri usipende kwenda kufanya kazi huko ndio maana mleta mada kaja juuVijana bwana,kwa hiyo halmashauri sio sehemu ya maana mkuu?
Subiria 2030 utapata unazo zitakaKila siku mtu ukiingia ajira portal ajira zilizopo ni za madereva, waendesha office,watendaji wa vijiji,walimu na wasaidizi wa kumbukumbu pekee,halafu waajiri ni halmashauri.
Ebu tangazeni ajira za maana kutoka taasisi za maana pia.
Aulize wengine walianzia wapi?Aache majidai kama anakula uji wa ndizi kwa senene.Bwanamdogo kwa hiyo arrogance utapata kazi kweli? Hicho kitu gani cha maana kuliko wengine ulichosoma
πππNdio zilizopo sasa wafanyeje,wabuni ajira vichwani?.
Ajira za maana ni zipi??Kila siku mtu ukiingia ajira portal ajira zilizopo ni za madereva, waendesha office,watendaji wa vijiji,walimu na wasaidizi wa kumbukumbu pekee,halafu waajiri ni halmashauri.
Ebu tangazeni ajira za maana kutoka taasisi za maana pia.