Serikali dhaifu, sukari na machozi ya Pinda


Paul Kijoka

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2010
Messages
1,406
Likes
7
Points
135
Paul Kijoka

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2010
1,406 7 135
Nadhani tumechoka kusikia kila siku serikali ikilia na kufanya usanii ila tusichoke kupiga kelele
hasa kwakuwa kulia lia kwa serikali ya JK kumetufanya tuzoee na kamini kuwa tunahitaji kumwonea huruma.

Sasa Pinda anajifnaya kusema kauli ya kisanii ili watu wa mwone ameamka kuhusu sukari pale anaposema ikiwa sukari itaendelea kuuzwa kwa magendo serikali itaingilia kati au italiamru JWT kuingilia kati.

Sasa linaloonesha usanii wa hali ya juu, ni pale serikali inapouza sukali kwa sh. 1900? sasa tuseme serikali imajigeuza mfanyabiashara au inajiunga na kundi husika kuendeleza uzembe?

Kama imeamua kuuza sukali kwa bei hiyo je nafuu iko wapi?

Nadhani JK anatakiwa ajue kuwa wkt anaingia madarakani sukari ilikuwa KG 1 kwa 500/
 

Forum statistics

Threads 1,238,322
Members 475,877
Posts 29,316,122