Sijajua vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wa nchi vimejisahau au vimelala . Wakuu kumekua na wimbi kubwa sana la wahamiaji haramu hasa wamalawi, aisee jamaa wametapakaa mitaani sana
Nadhani kwa wadau ambao ni wakazi wa pembezoni mwa miji hasa goba watakubaliana na Mimi(sijajua katikati ya Jiji Hali ikoje)
Lkn kwa wimbi hili ninaloliona mtaani kwangu serikari inabidi ichukue HATUA za haraka kuhakikisha wanapitisha msako kuwaondoa wote ambao wameingia nchini kinyume Cha Sheria. Tukianza kuruhusu watu waingie kiholera nchini tunakaribisha hatari za kiusalama, kiuchumi na kimaadili. Sasa hapo kwenye maadili nitafafanua vzr ili wadau na wahusika wajue tabia za Hawa wamalawi.
1. Kwao ni jambo la kawaida sana kukaa chumba kimoja Tena kidogo wanaume kuanzia 5 kwendelea kitu ambacho kinaleta ukakasi ktk jamii.
2. Huwezi kukuta wamechangamana na jamii ya wenyeji hata siku, hakuna salamu Wala hai na wanatembea kwa makundi makundi.
3. Hawa jamaa ni wezi sana usiku wote wanalanda landa mitaani kwa vikundi vikundi, chochote watakachokuta kimesahaulika nje au hakijahifadhiwa vzr basi hicho halali Yao. Tabia hizi zimewafanya watu kua na wasiwasi sana na usalama wa Mali zao(japo Kuna mitego washaanza kuwekewe)
4. Sasa hili ndo Mimi limenishitua zaidi na kuwaona kumbe jamaa hawafai kbs, ilipo ofsi yangu kando kidogo Kuna kundi kubwa la wamalawi wamepanga chumba kimoja Cha Giza, wanaoishi pale wako kama sita ( waume watatu na wake watatu) japo Kuna mda idadi inaongezeka zaidi ya hiyo niliyoitaja. Sasa hapo Kila kidume kina demu wake na kitanda wanachotumia ni kimoja tu( hilo nilijua baada ya kupeleleza)
Hivyo wanalala wote hapo kitandani Kila mmoja na demu wake/mke
Cha ajabu sasa Hawa jamaa kwa kua shughuli zao kubwa ni ulinzi hivyo mchana ndo muda wa wao kuwashughulikia wake zao! Huwezi amini mchana kweupe chumba hugeuka kama wodi ya watoto kwani Kila mmoja anakua bize na mbususu ya mkewe tena kitanda kimoja!
Si wapita njia, si watoto wa kwenye hiyo nyumba waliopanga sio sisi majirani wote tunasikiliza mayowe yanayotokea kkt kichumba hicho! Imefika hatua jamaa wakianza mambo Yao basi vijana wa mtaani hujisogeza karibu kusikiliza na kushuhudia mtanange unaokua ukiendekeza, kiukweli hatari ninayoina ni vijana au jamii yetu kuanza kuiga vitendo hivyo vya ajabu.
Yapo mengi sana wanayoyafanya Hawa wenzetu ambayo yapo kinyume kbs na Mira,tamani na maadili ya Kitanzania, sasa Mimi simalizi yote, vyombo vya ulinzi na usalama mjitafakari na anzenu kuchunguza mienendo ya Hawa watu wanaoingia nchini kama Bomba lililofunguliwa maji.
Kukishakua na ulahisi wa watu kuingia nchini wanavyotaka na kutoka watakavyo basi ni rahisi sana kupenyezewa majasusi na watu wengine wa namna hiyo kitu ambacho kitakua ni hatari sana ktk usalama wa nchi. Leo tunalalamika mambo ya ushoga kuongezeka, sijui usagaji kumbe Kuna watu washaona Kuna kiupenyo Cha kuja kumomonyoa maadili ya jamii yetu na Kisha kuondoka watakavyo. Nasema Tena serikali kuweni makini na wahamiaji haramu hasa wamalawi! Haya wapuuzeni sisi yetu macho na masikio.