Serikali bado inaendelea na uhakiki wa watumishi hewa?

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
963
1,000
Bado mkuu linaendelea! Yaani ni kero juu ya kero! Chief nkanga alisema ajira ni Feb 2017 wakatoa povu lakn huo ndo ukweli uliopo!

January 2017 kesho kutwa, bado matamko yanaendelea kama kawaida yao!
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
20,540
2,000
Bado mkuu linaendelea! Yaani ni kero juu ya kero! Chief nkanga alisema ajira ni Feb 2017 wakatoa povu lakn huo ndo ukweli uliopo!

January 2017 kesho kutwa, bado matamko yanaendelea kama kawaida yao!
Ikifika hiyo feb 2017 msishangae kusikia uhakiki wa uraia ukianza..
 
Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,715
2,000
Kama mnasubiria ajira kama Mimi jazba ipungue tu maana kuna uhakiki Wa akili endapo wewe ni kichaa no ajira kama ujuavyo mmoja kati ya wanne! Kama unavuta bange au kilevi kinachozidi bora ujiajiri ujuapo.. Na ngoma pia zitapimwa...
 
mmakondehuru

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
381
250

Hii silikali inatisha kama ukoma
 
Nathason2

JF-Expert Member
May 20, 2015
601
1,000
Hivi mpaka sasa bado serikali ya mkuu inaendelea na uhakiki wa watumishi hewa? Mwaka unaisha na bado stahiki za watu hazilipwi.

Tujuze wenye ufahamu na hili.
kwani baba anapokwepa majukumu yake nyumbani ni lazima aitangazie familia yake kuwa sasa ninakwepa kuwajibika? hata kutafuta sababu za uongo ni njia nzuri ya kukwepa majukumu yako kiustaarabu zaidi

ukistaajabu ya watumishi hewa utayaona ya utumbuaji hewa
 
mmakondehuru

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
381
250
kwani baba anapokwepa majukumu yake nyumbani ni lazima aitangazie familia yake kuwa sasa ninakwepa kuwajibika? hata kutafuta sababu za uongo ni njia nzuri ya kukwepa majukumu yako kiustaarabu zaidi

ukistaajabu ya watumishi hewa utayaona ya utumbuaji hewa
Namba zinasomeka haswa
 
Salamanders

JF-Expert Member
Oct 31, 2016
365
250
Watumishi banah, mara wezi, wazembe, wavivu, hawana akili hata boss mhindi anathamini kibarua wake
 
kson m

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
5,643
2,000
kutoka "mchakato na upembuzi" hadi "utumbuaji na uhakiki " !!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom