mmakondehuru
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 385
- 149
Hivi mpaka sasa bado serikali ya mkuu inaendelea na uhakiki wa watumishi hewa? Mwaka unaisha na bado stahiki za watu hazilipwi.
Tujuze wenye ufahamu na hili.
Tujuze wenye ufahamu na hili.
Ikifika hiyo feb 2017 msishangae kusikia uhakiki wa uraia ukianza..Bado mkuu linaendelea! Yaani ni kero juu ya kero! Chief nkanga alisema ajira ni Feb 2017 wakatoa povu lakn huo ndo ukweli uliopo!
January 2017 kesho kutwa, bado matamko yanaendelea kama kawaida yao!
Duh! Kaz ipoEndless process!!
Mh!Recyclling.....
Hii silikali inatisha kama ukomaKama mnasubiria ajira kama Mimi jazba ipungue tu maana kuna uhakiki Wa akili endapo wewe ni kichaa no ajira kama ujuavyo mmoja kati ya wanne! Kama unavuta bange au kilevi kinachozidi bora ujiajiri ujuapo.. Na ngoma pia zitapimwa...
Hivi mpaka sasa bado serikali ya mkuu inaendelea na uhakiki wa watumishi hewa? Mwaka unaisha na bado stahiki za watu hazilipwi.
Tujuze wenye ufahamu na hili.
Namba zinasomeka haswakwani baba anapokwepa majukumu yake nyumbani ni lazima aitangazie familia yake kuwa sasa ninakwepa kuwajibika? hata kutafuta sababu za uongo ni njia nzuri ya kukwepa majukumu yako kiustaarabu zaidi
ukistaajabu ya watumishi hewa utayaona ya utumbuaji hewa
Ukweli Mkuu maana kuna rafiki yangu mwalimu anadai nauli ya likizo tangu disemba mwaka Jana,ni mwaka huu sasa,mpaka imefikia mahala najarbu kuiona kazi ya ualimu kama ni ya kuumiza sana tuKwa style hii, tutahakiki mpaka michepuko!
naam.sasa ni uhakiki wa vyeti -Index number zinatakiwa na kushindwa kuwasilisha itakunyofoa kwenye payrol ifikapo march 2017 !!Ikifika hiyo feb 2017 msishangae kusikia uhakiki wa uraia ukianza..