Serikali angalieni hili la makampuni ya simu

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
11,668
Reaction score
6,370
Hasa hasa YasTanzania #YasTanzania hawa jamaa kila ukinunua umeme mara nyingi utakutana na changamoto ya kukosa token na ukiwapigia simu unajibiwa kirahisi tu kwamba jihidumie au subiri masaa 24 ya kazi yaani siku tatu,

Na ukijihudumia unakutana na majibu kwamba hakuna muamala umefanyika, kwa kifupi ni utapeli wa hali ya juu,

Wanavyofanya sasa:

Wanachuku hela yako na wenzako wengi tu ambao nyote mumejibiwa kwamba kuna tatizo la kiufundi na mnatakiwa kusubiri siku tatu ili mrudishiwe pesa yenu, sasa ndani ya hizo siku tatu wakihold tsh 10,000/= kwa watu milioni moja au tuseme laki moja tu utaona ni hela nyingi sana sasa wao wanaenda kuizungushia hiyo hela na ndani ya siku tatu wanakuwa wameingiza faida kubwa sana

Mjini akili mtu wangu, wanazungushia hela yako bila kukulipa interest hata elf moja kwa kisingizio cha network au tatizo la kiufundi

Mtetezi wetu ni serikali tafadhali angalieni hili Yas Tanzania
Tigo wizara ya mawasiliano
TCRA
 
Ila akili nyingine, unaweza kuthibitisha pasipo na shaka huko wanakozungusha??

Btw kama mtandao haueleweki kwanini unaung’ang’ania?
 
Ngoja nikusanue Kitu.

Kuna muda huwa ni peak hours, yaan kuna kuwa na folen kwenye kugenerate hizo token kwasababu watu weng kwa pamoja wananunua umeme. Hivyo mitambo ya Kugenerate inaweza Kumiss baadh ya requests. (Maana inaweka kupokea maelfu ya request within seconds).

Hizi ni interchange ya system. Kuna moja inakata hela, alaf inatuma request kwa system nyingne, alaf inapokea feedback na kukupa ww.

Kwahiyo system ya Hela itakata hela yako, itatuma kwa ya Token kule. Kama haijawa genetated. Basi haupati Token . Au ikawa generated alaf isitumwe kwako.

Mida ya 12 jion had saa 2 usiku watu weng wananunua Token.

So kama unaweza epuka hiyo Folen. Nunua kabla au baada ya mida hiyo na hauwez pata hiyo dhahama.
 
Nadhani wao kwanza wangetuthibitishia bila shaka kwamba ni tatizo la kiufundi,
Unafanyia tigo?
 
Ngoja nikusanue Kitu.

Kuna muda huwa ni peak hours, yaan kuna kuwa na folen kwenye kugenerate hizo token kwasababu watu weng kwa pamoja wananunua umeme. Hivyo mitambo ya Kugenerate inaweza Kumiss baadh ya requests. (Maana inaweka kupokea maelfu ya request within seconds).

Hizi ni interchange ya system. Kuna moja inakata hela, alaf inatuma request kwa system nyingne, alaf inapokea feedback na kukupa ww.

Kwahiyo system ya Hela itakata hela yako, itatuma kwa ya Token kule. Kama haijawa genetated. Basi haupati Token . Au ikawa generated alaf isitumwe kwako.

Mida ya 12 jion had saa 2 usiku watu weng wananunua Token.

So kama unaweza epuka hiyo Folen. Nunua kabla au baada ya mida hiyo na hauwez pata hiyo dhahama.
Inawezekana sipingi ila kwanini mimi nakutana na hili tatizo kila mda?
 
Namalizia kutoa akiba yangu huko, punde tu naachana nao,
Tayari nimejiunga voda
Asante kwa ushauri

Hapo safi mkuu, mtandao wa uhakika mpaka sasa ni voda tu, hata kwenye internet japo mitandao mingine kuna mpaka bando za unlimited za 70k ila mi bado nalipia voda 120k!
 
Nimejihudumia tena mida hii, bado inasema muamala haupo, nimewapigia cc wananijibu mbofu, jamaa wanatia hasira sana
 
Kwanin usitumie mtandao mwingine Kam yas inakuwa changamoto

Back
Top Bottom