Serikali acheni usiri, bunge halijaafiki marekebisho ya sheria. Je nini hatima ya DP World na mkataba wake?

DP World halisi wamekuja juu baada ya kugundua kuna makuwadi wanawaingiza chaka!
Utabiri wangu: Wahuni na makuwadi wa DP World kina FaizaFoxy jiandaeni kisaikolojia kurejesha fedha mlizotuzwa!
 
Serikali corrupt ndio hufanya mambo yake kwa kificho/kuwa kimya!!
Hakuna siri 👇🏾

IMG-20230901-WA0053.jpg
 
Ajabu sana, bunge limegoma kufanya marekebisho ya sheria, at the same time serikali bado inaendelea na msimamo wa kuutambua ule mkataba wa hovyo unaovunja sheria zetu ambazo bunge lilitaka kuzibadili ili kuendana na ule mkataba wa hovyo, hii serikali ya Samia ni ya ajabu sana haina co ordination kabisa.
 
Back
Top Bottom