msimamo kama huu ndio unaotakiwa.. KOMAAA KAZA BUTI KAKA!!Wakuu.
nawasalimu sana sana.
Baada ya salamu naomba nieleze kua serikali haichangii chochote kwenye uzalishaji wa kahawa na hakuna msaada wenu.
Bado mnanunua kwa bei za chini yaani nipate hasara eti kisa nina uzalendo hiyo haijawahi kutokea hata siku moja.
Kahawa ina bei nzuri Rwanda , Uganda, Burundi Na kenya msitulazimishe tuwauzie ninyi kwa hasara mlivoua bei za mahindi na mbaazi muishie hapo hapo tuachieni kahawa tusomeshe watoto kwenye shule bora baada ya faida tutayopata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaitwa mchochezimsimamo kama huu ndio unaotakiwa.. KOMAAA KAZA BUTI KAKA!!
WAMEUMUVUZISHA TAYARI.... NILISEMA WATAUBANDUA.. WAMEUBANDUAUtaitwa mchochezi
mkuu wakulima tuna maumivu kila mwaka jamaa watusikie mahindi chali, mbaazi chalimsimamo kama huu ndio unaotakiwa.. KOMAAA KAZA BUTI KAKA!!
naamini ukweli wanaujua kua enzi ya kikwete kahawa tumeuza hadi laki nne kwa gunia moja lakini leo inabakia laki na kitu sio hakianza kuitafuta kadi yako ya clinic mapema na makaburi ya babu wa babu yako na vyeti vyao vyakuzaliwa
kahawa enzi ya kikwete tumeuza hadi laki nne kwa gunia lakini leo tunarudishana nyumaSAFI SNA.WAMEUA BEI YA MAHINDI NA MBAAZI.MAHNDI SAHV HAPA NILIPO NI 18 ALFU.wakulima tumekata mitaji.