Serikali fungueni mipaka tukauze kahawa Uganda kwenye Bei nzuri kuliko kuwauzia ninyi wenye bei ndogo.

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
2,763
2,000
Wakuu
Serikali yetu sikivu tunawaomba mwaka huu mturuhusu tukauze kahawa Uganda kwenye bei kubwa kuliko mnavolazimisha tuwauzie ninyi kwa bei ndogo.
Au muwaruhusu wafanyabiashara wa Uganda waingie kununua Tanzania na msiwape masharti magumu hapo mtakua mmetusaidia wakulima kuinuka kiuchumi,
 
nsanzu

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
3,901
2,000
Ndugu nilizungumze hili kwa uchungu ila ndio ukweli wenyewe. Nchi hii ina laana! Hakuna kitakachofanyika kifanikiwe tusipoomba toba, jiulize tu swali dogo ndugu

Hao waganda wanaokuja kununua kwetu, wao wanaiuza wapi? Kimeshindikana nini kwa serikali yetu kutengeneza njia ya mkulima kulifikia soko la ukweli tunang'ang'ana kubaki hapa hapa
 
Inauma mkuu acha tu kahawa Tanzania 1500 wakati Uganda tu hapo wao wananunua 4000 halafu bado wanatuzuia kupeleka kwenye bei nzuri na pesa inarudi kwetu
 
nsanzu

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
3,901
2,000
Inauma mkuu acha tu kahawa Tanzania 1500 wakati Uganda tu hapo wao wananunua 4000 halafu bado wanatuzuia kupeleka kwenye bei nzuri na pesa inarudi kwetu
Nchi za Afrika ya Mashariki hakuna nchi inayoizidi Tanzania kwa ardhi na utoaji wa mazao ya kutosha ikitiliwa mkazo, lakin viongozi wetu wasenge wasengeee!
 
stickvibration

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
3,213
2,000
Mbona niliwahi kusikia hotuba moja ya rais akiongelea utoroshaji wa kahawa kutoka kagera kueleka bukoba na aliruhusu?
Waacheni wapeleke kahawa yao nchi jirani kama nyinyi bei yenu ni ndogo

Mkuu au niliskia vibaya?♂️
 
Machozi ya mkulima wa kahawa ni makubwa sana na hayaelezeki kirahisi
 
stickvibration

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
3,213
2,000
Machozi ya mkulima wa kahawa ni makubwa sana na hayaelezeki kirahisi

Poleni saana mkuu,!!lakini mkipaza sauti kwa pamoja naimani tatizo lenu litatatuliwa
Kama vile sisi wakulima wa pamba tulivyopaza sauti
Japo bado tunamvutano wa bei lkn kwa asilimia kubwa changamoto nyingi zimetatuliwa♂️
 
sodoliki

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
2,596
2,000
Inauma mkuu acha tu kahawa Tanzania 1500 wakati Uganda tu hapo wao wananunua 4000 halafu bado wanatuzuia kupeleka kwenye bei nzuri na pesa inarudi kwetu
Wee tafuta njia ukauze, korosho watu wameuza octoba mwaka jana , mpaka leo hawajalipwa, mbaazi same, mahindi same, na mahindi anataka yeye akauze zimbambwe , siyo wakulima kauzeni , jitayarisheni kudhulumiwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom