Serikali, acheni kuhangaika na watumishi; Pambaneni na Vijiwe Vijana wanakopotezea Muda mtaani

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,163
787
Wakati serikali inahangaika kucheza na kundi dogo la watumishi wa umma tena baada ya uhakiki vyeti nashauri itoshe sasa.

Kuna makundi kwa makundi ya vijana wake kwa waume wanapoteza wakati wao mtaani. Kariakoo imejaa vijana, kila stand mijini imejaa vijana.

Serikali isidhani kwamba hawa watu aka vijana hawanifaiki, ama Hawaii jasho, ama kama sio kuwa mzigo wa serikali yenyewe watumishi wakiwa ndio walipe kodi zinazotumika ktk shughuli za kijamii.

Serikali ione sasa ibuni njia ya kutumia nguvu kazi hii badala ya kupambana na watu waliosotea walimu zao bila kujali wanasoma wapi walipitaje nk....la msingi vyuoni alivyopitia utumishi ni accredited baasssii.

Tunapata wkt, kujengeana frustration. Nilisoma Azania zamani kidogo.kiukweli Four au three achana na div two au one ya miaka ya 80,90 utaifananisha na miaka ya siku hizi.

My government, yawezekana zinapitwa wakati na vizazi hivi.
 
Back
Top Bottom