Mkandara, kuwa mwelewa. Sadc ilikuwa ni Kamati ya ukombozi, tena dhidi bwana mkubwa na key player wa sasa wa sadc, RSA.Majibu haya ungempa Mchambuzi ambaye anasema lazima ianze na Uchumi, sasa wewe umedhihirisha kwamba SADC ilikuwa Political kwanza na sasa ni uchumi. Hivyo unapingana na mwenzako usielekeze swala kwangu.
Ya Amerika na miaka 200 haipotezi maana, kama neno Siasa na Uchumi lilikuwepo miaka 200 ilopita halina maana nyingine leo. Nchi za Ulaya zilipata Uhuru miaka 200 ilopita na baadhi wakaungana kisiasa miaka hiyo hiyo, lakini wamekuja ungana kiuchumi na mataifa mengine karne hii. Mnachanganyikiwa sana nyie, wala sijui mnachotaka kusema ni kipi hapa.
Labda niwaulizeni nyie, haya ya EU kuiwekea vikwazo Russia ni Siasa ama ni katika mbinu za Kiuchumi?
Muungano wa England na Scotland is a failure than a success,nitarudi kujadili kwanini; kwa kifupi, unitary unions zina matatizo, na mwingereza aliturithisha Mfumo uliojaa matatizo, Ndio maana mwalimu in the 1990s alisaidiwa jaji bomani kuja na elements za federation Katika muungano wetu ili kuokoa CCM na muungano kwa ujumla, lakini tatizo ikawa shirikisho halikuwekwa lililo kamili; it's about time now;Nje ya chaki, ila hapo kwenye nyekundu....
Muungano kati ya England na Scotland, Ireland na Wales ulikuwa based on economic foundation? Tuelezee how.
Je muungano huu ni failure? (Set aside the refferrendum).
EAC ni success story in your views? Tuelezee how is it successful compared to SADC (as a Tanzanian).
Je, EAC na SADC ni muungano upi upo more political in your view? As to, how politically mobilize/harmonized is EAC compared to SADC?
Is African Union a more Political Union than Economic? Is it a failure? Je, OAU na AU ni ipi ilkuwa more politically mobilized na ipi ipo relatively more coherent?
Political mobilization is a precedent to a better economic union, if you ask me. And not otherwise..... Ila tusiharibu mada kwa kuanzisha mambo mengine.
Swala hapa ni kwamba was it Political au Economic kilichoanzisha ushirika huo? maana wewe leo unazungumza yote haya pasipo kujua Political fundamentals ndio ulotuunganisha hata sisi sote tukagombania Uhuru wa Tanganyika, na leo hii tunazungumzia Uchumi wetu kutokana na Uhuru huo. Huwezi kugombania Uchumi wakati huko huru, Nachokupinga wewe ni pale unaposema Uchumi hutangulia Siasa wakati wanaopanga ushirika wa aina yoyote ile iwe tanzania au EU ni Wanasiasa kwanza kukubaliana na ndipo huwashirikisha Wachumi, Wanasheria na kadhalika. Pasipo Political understanding hakuna makubaliano ya Kiuchumi yanayoweza kufikiwa. A success story ya USA kiuchumi ni matunda ya Ushirika wao na sio sababu ya kushirikiana. Wao ilitokana na - Political will.Mkandara, kuwa mwelewa. Sadc ilikuwa ni Kamati ya ukombozi, tena dhidi bwana mkubwa na key player wa sasa wa sadc, RSA.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Swala hapa ni kwamba was it Political au Economic kilichoanzisha ushirika huo? maana wewe leo unazungumza yote haya pasipo kujua Political fundamentals ndio ulotuunganisha hata sisi sote tukagombania Uhuru wa Tanganyika, na leo hii tunazungumzia Uchumi wetu kutokana na Uhuru huo. Huwezi kugombania Uchumi wakati huko huru, Nachokupinga wewe ni pale unaposema Uchumi hutangulia Siasa wakati wanaopanga ushirika wa aina yoyote ile iwe tanzania au EU ni Wanasiasa kwanza kukubaliana na ndipo huwashirikisha Wachumi, Wanasheria na kadhalika. Pasipo Political understanding hakuna makubaliano ya Kiuchumi yanayoweza kufikiwa. A success story ya USA kiuchumi ni matunda ya Ushirika wao na sio sababu ya kushirikiana ilitokana na - Political will.
Nimeshakujibu vizuri tu ya kwamba swali lako la kwanza linazungumzia MATAIFA wakati hapa hatuna mataifa tuna TAIFA moja, Hivyo ushirikiano wa Tanganyika na Zanzibar sio wa Mataifa kama unaozungumzia.Mnachepuka Katika hoja ya msingi. Political will, political understanding, all these are vague issues; naombeni majibu kwa maswali yafuatayo:
1. Katika muktadha wa ushirikiano baina ya taifa zaidi ya moja, Kati ya economic integration (harmonization of a variety of policies) and political federation, kipi uanza?
2. Kabla ya federation, USA was a confederation, why did confederation fail Kama sio sababu siasa kutangulia uchumi?
3. Between economics and politics, what's the main factor behind stability ya muungano wa USA?
4. Kwanini kuna kusua sua kwa EAC kwenda kwenye political federation na kwanini kuna kusua sua kwa suala la uchumi kupewa kipaumbele Katika mjadala juu ya Mfumo sahihi wa muungano baina ya znZ na Tanganyika?
Naomba majibu au mtazamo wenu kwa maswali haya.
Cc Kobello
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapa ndipo mnapojichanganya. Tanganyika and Zanzibar were two sovereign states. Baada ya kuungana, suala la autonomy za kila serikali liliwekwa wazi kwenye mkataba wa muungano, lakini badala ya kutekeleza, mshirika mmoja tu znZ Ndio akapewa semi autonomous status. This was wrong and will continue to haunt the union indefinitely bila ya mshirika mwingine Tanganyika nae kuwa na fiscal autonomy;Nimeshakujibu vizuri tu ya kwamba swali lako la kwanza linazungumzia MATAIFA wakati hapa hatuna mataifa tuna TAIFA moja, Hivyo ushirikiano wa Tanganyika na Zanzibar sio wa Mataifa kama unaozungumzia.
Pili, Unataka sisi tuzungumzie Shirikisho wkaati tunazungumzia Muungano hivyo kila unapojadili wewe unataka kutuvuta sisi ktk Shirikisho na kulizungumzia mazuri yake wakati unashindwa kuelewa kwamba Shirikisho ni baada ya Kuwepo Mataifa, hapa sisi tunaunda Utaifa na ndipo nasema Political will hutangulia. Kusema kwamba hamtaki kuuvunja Muungano wakati mnazungumzia Mataifa mawili tofauti kuunda Shirikisho ni kutaka kuudanganya Umma.
Kwa mtazamo wako, kuna Wakati wowote ule ambao muungano ulikuwa shwari Katika miaka 50? Maana unavyojadili hapo juu ni Kama mgogoro uliopo ni breaking news.Kifupi mkuu wangu tumefikia hapa na kukwama hapa kwa sababu ya kuchukua collective political will ambayo kia mtu anakuja na hoja zake na ndio mana tumeshindwa kupata maridhiano na kihistoria hakuna maridhiano ya kisiasa yanayotokana nacollective Political will.
Haswaa, lakini mkuu huwezi kununua tairi bila kujua kipimo cha ringi ulokuwa nayo..Siasa na uchumi ni ringi na tairi haviachani. Ubishani wenu katika hilo hauna tija. Kama ilivyo la muungano na shirikisho linavyowachanganya tanzania ni kama popo kitabia haileweki uzanzibar na utanzania mpaka wake
Hoja Hapa sio kuachana au kutoachana, hoja ni je - msukumo wa ushirikiano baina ya mataifa mawili au zaidi unajengwa kwa msingi upi baina ya uchumi na siasa? Kipi kinaanza, economic integration - harmonization of various policies au political federation/unity/union?Siasa na uchumi ni ringi na tairi haviachani. Ubishani wenu katika hilo hauna tija. Kama ilivyo la muungano na shirikisho linavyowachanganya tanzania ni kama popo kitabia haileweki uzanzibar na utanzania mpaka wake
Ndio nakujibu sisi hatuna Mataifa mawili!. Kama unazungumzia EAC ambayo ni confideration bila shaka inatokana na Uchumi na sisi ni wanachama. Sisi hatuandiki katiba mpya hii kuunda Confideration wakati tuna Union -Hatuna mataifa mawili.Hoja Hapa sio kuachana au kutoachana, hoja ni je - msukumo wa ushirikiano baina ya mataifa mawili au zaidi unajengwa kwa msingi upi baina ya uchumi na siasa? Kipi kinaanza, economic integration - harmonization of various policies au political federation/unity/union?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sawa bora tumerudi ktk mada yenyewe unachotaka kujua ambacho hakijajadiliwa kipi haswa - come to the point!Mkuu Mkandara,
Uzi wako title yake ni "serikali Tatu na gharama zake", naomba nisaidie Katika hili:
• Je, gharama za serikali Tatu KIUCHUMI ni Zipi?
Umejadili sana upande wa siasa, bila ya kuangalia upande wa uchumi, hoja zako zitakuwa biased.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sawa bora tumerudi ktk mada yenyewe unachotaka kujua ambacho hakijadiliwa kipi haswa - come to the point!
Nadhani mwisho wa mada yangu niliweka maswali ambayo kwa muda wote tumekuwa tukizungumzia maswala mengine kabisa. Wewe na Nguruvi3 mkitangaza sana kuunda confideration kinyume cha hata rasimu inayopendekeza federation. Ni mawazo yenu na tumeyasikia japo hayaridhishi na kinyume cha matakwa ya wananchi ktk uandishi wa katiba mpya.Serikali Tatu na gharama zake - ainisha gharama za kiuchumi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Objection!! .... leading question Sir.Mnachepuka Katika hoja ya msingi. Political will, political understanding, all these are vague issues; naombeni majibu kwa maswali yafuatayo:
1. Katika muktadha wa ushirikiano baina ya taifa zaidi ya moja, Kati ya economic integration (harmonization of a variety of policies) and political federation, kipi uanza?
Confederation ili-fail kwa sababu continental congress, ambayo ndiyo ilikuwa chombo kikuu cha muungano kilikuwa hakina nguvu yeyote ya maana na hakisikilizwi na State government yeyote. Nationalists au wenyewe wanawaita Federalists akina Johhny Jay,Alex Hamilton, Ben Franklin na Mzee mwenyewe George Washington waka-propose constitution ya kuipa nguvu Central government na kuazisha Rais, mahakama na kodi. Confederation ilifail kwa sababu kulikuwa hakuna central government, bali continental Congress (weak)2. Kabla ya federation, USA was a confederation, why did confederation fail Kama sio sababu siasa kutangulia uchumi?
Politics, mbona swali rahisi sana? Muungano wa USA unaweza kuuangalia kutokana na "Dateline" unayotaka au "Angle" unayotaka. Pre-colonial, Colonial, Post-colonial/Pre-Civil War, Post-Colonial/ Post-Civil War .. etc na siasa zake zipo tofauti regardless ya uchumi.3. Between economics and politics, what's the main factor behind stability ya muungano wa USA?
You tell me.4. Kwanini kuna kusua sua kwa EAC kwenda kwenye political federation
Nitajaribu kwa kila namna kuipata clip yako ya Star Tv, ili nione ni jinsi gani suala la uchumi halijapewa kipaumbele. Ninavyoona, suala la uchumi ndiyo kila kitu. It's all about gharama na ndiyo hapo mtakapowapata wananchi.5. Kwanini kuna kusua sua kwa suala la uchumi kupewa kipaumbele Katika mjadala juu ya Mfumo sahihi wa muungano baina ya znZ na Tanganyika?
Done...
Objection!! .... leading question Sir.
Confederation ili-fail kwa sababu continental congress, ambayo ndiyo ilikuwa chombo kikuu cha muungano kilikuwa hakina nguvu yeyote ya maana na hakisikilizwi na State government yeyote. Nationalists au wenyewe wanawaita Federalists akina Johhny Jay,Alex Hamilton, Ben Franklin na Mzee mwenyewe George Washington waka-propose constitution ya kuipa nguvu Central government na kuazisha Rais, mahakama na kodi. Confederation ilifail kwa sababu kulikuwa hakuna central government, bali continental Congress (weak)
Politics, mbona swali rahisi sana? Muungano wa USA unaweza kuuangalia kutokana na "Dateline" unayotaka au "Angle" unayotaka. Pre-colonial, Colonial, Post-colonial/Pre-Civil War, Post-Colonial/ Post-Civil War .. etc na siasa zake zipo tofauti regardless ya uchumi.
Na siku zote, ni vita kati ya State rights Vs. National rights hasa baada ya ukoloni, regardless of the economy. Na muungano huu wa kisiasa ndio uliochochea muungano wa kiuchumi. Na muungano wa kiuchumi between states umebadilika na utaendelea kubadilika, almost on a daily basis.
You tell me.
EAC iliundwa kutokana na theory ambayo wewe umeikazania. Hiyo ni theory iliyotumiwa na EU na kuna- arguments nyingi kuhusu hiyo theory kuwa "Blueprint" ya federations za siku hizi. Hata EU wenyewe hawawezi kuwa Federation hata siku moja. Especially with the coming-up of Nationalism in Europe (angalia trend za chaguzi za nchi mbalimbali za EU)
Msome Prof. Adebayo Adedeji kwenye "History and Prospects For Regional Intergration in Africa".
Nitajaribu kwa kila namna kuipata clip yako ya Star Tv, ili nione ni jinsi gani suala la uchumi halijapewa kipaumbele. Ninavyoona, suala la uchumi ndiyo kila kitu. It's all about gharama na ndiyo hapo mtakapowapata wananchi.
Wananchi wengi hawajali idadi ya serikali kwa kutaka madaraka. Watachagua mfumo nafuu ambao utawarahisishia maisha yao ya kila siku (hasa kodi na echange ya bidhaa kati yao). Siyo mfumo utakao- complicate mambo haya. Ndiyo maana mfumo wa majimbo ni failure kubwa katika Political propositions zilizowahi kutokea Tanzania. Na mfumo huu wa majimbo, ndio precedent nzuri kwa Federation. Kwahiyo, sijui umeipata wapi hii ya kusuasua.
Done...
Alright then.Mjadala wa star tv hautakuwa juu ya katiba Wala muungano. Ni uhusiano baina ya economic growth and poverty alleviation.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Naomba niambie gharama hizo zilizokuwa highlited (njano) zitafutika kabisa kwenye gharama za serikali mpya ya Tanganyika?Mkuu Mkandara,
Uzi wako title yake ni "serikali Tatu na gharama zake", naomba nisaidie Katika hili:
• Je, gharama za serikali Tatu KIUCHUMI ni Zipi?
Umejadili sana upande wa siasa, bila ya kuangalia upande wa uchumi, hoja zako zitakuwa biased.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Naomba niambie gharama hizo zilizokuwa highlited (njano) zitafutika kabisa kwenye gharama za serikali mpya ya Tanganyika?
Mimi naweza kukuonyesha ni kivipi zitaonekana tena, kwenye serikali mpya ya Tanganyiaka, kwa sababu baadhi yake zipo serikali ya Zanzibar.
Angalia pia vote 22 (3.3 trillion) na uniambie, pamoja na ku-service hiyo Debt, Tanganyika itakuwa na madeni yake apart from that??
Halafu utuambie kama gharama zitaongezeka au la.
Nguruvi3