Serikali 3 na gharama zake

Serikali 3 na gharama zake

Mkandara

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2006
Posts
15,813
Reaction score
9,063
Serikali 3 na gharama zake

Baada ya kuvunjika kwa bunge la katiba juu ya swala la muundo wa serikali, nachukua nafasi hii kutoa majibu ambayo kwa sababu zisizojulikana imeshindikana kabisa kuelezewa tofauti ya gharama baina ya serikali 2 na 3, gharama zipi zitaongozeka kulingana na mapendekezo ya rasimu ya tume ya Warioba.

Na sii lengo langu kujaribu kuukana ukweli kwamba Tanzania ya leo inahitaji serikali 3 isipokuwa kuwataarifu wananchi waelewa jinsi gani muundo wa aina hii una mamlaka gani na unafanyaje kazi zake ktk utekelezaji wa majukumu wanayokabidhiwa kikatiba. Hii inatokana na mimi kuwasoma watu wengi kutofahamu Mamlaka ya tawala wa muundo huu ili serikali hizo ziweze kuwawakilisha wananchi wake haraka na kwa ufasaha zaidi. Hivyo lengo la kuzitaka serikali 3 linaonyesha wazi ni kutaka kutengenisha mambo ya Muungano na yasiyokuwa ya Muungano kutokana na ukweli kwamba hadi sasa Mambo yote ya Muungano ni mambo ya bara sio ya Muungano badala ya kuziunda serikali ili ziwe karibu zaidi na wananchi wake ktk utekelezaji wa mahitaji yao.

Mara zote nimesikia wananchi wakidai kuwepo kwa seikali 2 hakuna tofauti ya gharama na serikali 3 na wakitumia sababu za mapngufu ya utawala uliopo ambao miaka yote baada ya 1984 tulipounda vyama vingi, kumekuwa na mkanganyika wa utawala ambao umewavuruga wananchi wasijue mamlaka ya vyombo vyao yana ukomo gani. Pia imewavuruga viongozi ambao kwa dhana zao wamekuwa wakiongeza mikoa, wilaya na majimbo wakifikiria ndio njia rahisi ya kuwafikia wananchi wakati mamlaka bado yapo chini ya rais wa serikali kuu. Hivyo mitazamo yote hii imelenga zaidi hifadhi ya Utawala (kisiasa) kuliko sababu za ujenzi wa nyenzo za kuijenga nchi na wananchi wake ambao pia kw abahati mbaya wamevutwa katika zizi la Uchama na kupoteza Utaifa wao.

Ngoja niseme ukweli, Ukweli ni kwamba tunapoihitaji serikali ya 3 siyo serikali ya Tanganyika kama wanavyodai wanasiasa wengi ama wana taaluma wapambanaji isipokuwa tunaihitaji serikali ya Muungano ambayo haipo. Ukweli ni kwamba jina la Muungano lipo lakini hatuna seriikali ya Muungano kiutekelezaji toka mwaka 1984, niliwahi kulisema hili na sasa limedhihirishwa ktk kongamano la jana. Imeelezwa katika kongamano la Mwl.Nyerere foundation ya kwamba hata hayo mambo tunayosema kuwa ni ya Muungano ni mambo ya serikali ya bara.

Hivyo mawaziri wote walioko ktk ushirika wa Muungano ni mawaziri wa serikali ya Tanganyika sio ya Muungano. Wajumbe hao walifikia hadi kuhoji ni lini wananchi wamewaona viongozi mawaziri wa Muungano wakitembelea Zanzibar katika maswala ya Muungano?. Kwa hiyo tunazo serikali 2 nazo ni serikali ya Zanzibar na serikali ya Tanganyika - Hatuna serikali ya Muungano!.. Ukweli ndio huo japo unauma.

Kwa hiyo basi ni muhimu tukubali kwamba tuchukulie hii serikali ya Muungano ni serikali ya bara, bunge lake, mahakama zake zote ni za bara, na ndio maana wapo wananchi wanaohoji kuwepo kwa wabunge wa Zanzibar katika bunge la Muungano kujadili mambo yasokuwa ya Muungano, bila kujua kwamba pale hakuna mambo ya Muungano. Hivyo tunachokililia leo hii ni serikali ya Muungano na sio Tanganyika maana ipo.

Sasa swali linakuja - Tukiunda serikali ya 3 ya Muungano haitakuwa na gharama zake? Hizo ghrama zake ni nani atazihudumia? Na Je, bunge la serikali hii litakuwa na wajumbe wangapi, kutoka wapi na majimbo gani? Mishahara na posho zao zitagharamiwa na nani, watumishi wake watakuwa sehemu zote za Jamhuri au makao makuu tu na kadhalika… Hizi gharama za misafara ya rais ktk mialiko ya Kimataifa, mawaziri wake, mamlaka yake katika mipango ya maendeleo na kadhalika ndiyo maswala muhimu ya kujadili kuliko kuendelea kuidai Tanganyika ambayo ipo.

Je, nchi za wenzetu walokuwa na mfumo kama huu mamlaka ya uendeshaji wa shughuli za serikali zake umejengwa vipi na nini nafasi ya serikali kuu ktk ujenzi wa Mataifa hayo. Nini ukomo wa mamlaka ya serikali za nchi kuendea mamlaka ya serikali kuu juu ya jambo hilo hilo. Ikiwa Nchi yetu inahitaji uwekezaji katika Kilimo, serikali kuu itahusika vipi tofauti na hizo za kila nchi.

Nafikiri hii inatosha kwa leo tutaendelea inapobidi baada ya michango yenu.
 
hapo umewagusa pabaya tumsubiri tundu lisu labda atachangia
 
kama serikali ya Tanganyika ipo ni kwanini wazanzibar wanaajiriwa Tanganyika na hakuna mtanganyika anayeajiriwa serikali ya zanzibar? hatutaki mambo ya kivuli sijui mwamvuli, tunataka the government of Tanganyika. Rasimu ya warioba imeelezea kabisa idadi ya wabunge wa muungano na namna watavyopatikana.
 
fafanu vzr hiyo ni tume ya warioba na neno lililotumika humo ni kwa tathimin ya tume ya warioba na sio maoni ya wananchi

jielewe
 
Serikali 3 na gharama zake

Baada ya kuvunjika kwa bunge la katiba juu ya swala la muundo wa serikali, nachukua nafasi hii kutoa majibu ambayo kwa sababu zisizojulikana imeshindikana kabisa kuelezewa tofauti ya gharama baina ya serikali 2 na 3, gharama zipi zitaongozeka kulingana na mapendekezo ya rasimu ya tume ya Warioba.

Na sii lengo langu kujaribu kuukana ukweli kwamba Tanzania ya leo inahitaji serikali 3 isipokuwa kuwataarifu wananchi kuelewa jinsi gani muundo wa aina hii una mamlaka gani na unafanyaje kazi zake ktk utekelezaji wa majukumu wanayokabidhiwa kikatiba. Hii inatokana na mimi kuwasoma watu wengi kutofahamu Mamlaka ya tawala wa muundo huu ili serikali hizo ziweze kuwawakilisha wananchi wake haraka na kwa ufasaha zaidi. Hivyo lengo la kuzitaka serikali 3 linaonyesha wazi ni kutaka kutengenisha mambo ya Muungano na yasiyokuwa ya Muungano kwa bara kutokana na ukweli kwamba hadi sasa Mambo yote ya Muungano ni mambo ya bara sio ya Muungano badala ya kuziunda serikali ziwe karibu Zaidi na wananchi wake ktk utekelezaji wa matakwa yao.

Mara zote nimesikia wananchi wakidai kuwepo kwa seikali 2 hakuna tofauti ya gharama na serikali 3 na wakitumia sababu za mapngufu ya utawala uliopo ambao miaka yote baada yatangu 1984 tulipounda vyama vingi, kumekuwa na mkanganyika wa utawala ambao umewavuruga wananchi wasijue mamlaka ya vyombo vyao yana ukomo gani. Pia imewavuruga viongozi ambao kwa dhana wamekuwa wakiongeza mikoa wilaya na majibo kufikiria ndio njia rahisi ya kuwafikia wananchi wakati mamlaka bado yapo chini ya rais wa serikali kuu. Hivyo mitazamo yote hii imelenga zaidi hifadhi ya Utawala (kisiasa) kuliko sababu za ujenzi wa nyenzo za kuijenga nchi na wananchi wake ambao pia kw abahati mbaya wamevutwa katika zizi la Uchama na kupoteza Utaifa wao.
Ngoja niseme ukweli, Ukweli ni kwamba tunapoihitaji serikali ya 3 siyo serikali ya ya Tanganyika kama wanavyodai wanasiasa wengi ama wana taaluma wapambanaji isipokuwa tunaihitaji serikali ya Muungano ambayo haipo. Ukweli ni kwamba jina la Muungano lipo lakini hatuna seriikali ya Muungano toka mwaka 1984, niliwahi kulisema jhili na sasa limedhihirishwa ktk kongamano la jana. Imeelezwa katika kongamano la Mwl.Nyerere foundation ya kwamba hata hayo mambo tunayosema kuwa ni ya Muungano ni mambo ya serikali ya bara.

Hivyo mawaziri wote walioko ktk ushirika wa Muungano ni mawaziri wa serikali ya Tanganyika sio ya Muungano. Wajumbe hao walifikia hadi kuhoji ni lini wananchi wamewaona viongozi mawaziri wa Muungano wakitemebelea Zanzibar katika maswala ya Muungano?. Kwa hiyo tunazo serikali2 nazo ni serikali ya Zanzibar na serikali ya Tanganyika - Hatuna serikali ya Muungano!.. Ukweli ndio huo japo unauma.

Kwa hiyo basi ni muhimu tukubali kwamba tuchukulie kwamba hii serikali ya Muungano ni serikali ya bara, bunge lake, mahakama zake zote ni za bara, na ndio maana wapo wananchi wanahoji kuwepo kwa wabunge wa Zanzibar katika bunge la Muungano kujadili mambo yasokuwa ya Muungano bila kujua kwamba pale hakunamambo ya Muungano. Hivyo tunachokililia leo hii ni serikali ya Muungano sio Tanganyika maaa ipo.

Sasa swali linakuja - Tukiunda serikali ya 3 ya Muungano haitakuwa na gharama zake? Hizo ghrama zake ni nani atazihudumia? Na Je, bunge la serikali hii litakuwa na wajumbe wangapi, kutoka wapi na majimbo gani? Mishahara na posho zao zitagharamiwa na nani, watumishi wake watakuwa sehemu zote za Jamhuri au makao makuu tu na kadhalika… Hizi gharama za misafara ya rais ktk mialiko ya Kimataifa, mawaziri wake, mamlaka yake katika mipango ya maendeleo na kadhalika ndiyo maswala muhimu ya kujadili kuliko kuendelea kuidai Tanganyika ambayo ipo.

Je, nchi za wenzetu walokuwa na mfumo kama huu mamlaka ya uendeshaji wa shughuli za serikali zake umejengwa vipi na nini nafasi ya serikali kuu ktk ujenzi wa Mataifa hayo. Nini ukomo wa mamlaka ya serikali za nchi kuendea mamlaka ya serikali kuu juu ya jambo hilo hilo. Ikiwa Nchi inahitaji uwekezaji katika Kilimo, serikali kuu itahusika vipi tofauti na hizo za kila nchi.

Nafikiri hii inatosha kwa leo tutaendelea inapobidi baada ya michango yenu.

Umesoma rasimu? Ulisikiliza mjadala wa Kigoda cha Mwalimu J3?
 
Gharama ya serikali ya muungano kwa mujibu wa data kutoka hazina ni 1.8b.
 
Kwani hizo mbili nani anagharamia?? Huyo JK aliyehamishia Ikulu yake Marekani ni kwa gharama za nani?? Mashangingi mmenunua kwa hela zipi?? Fedha mnazochezea mnatoa wapi??

Kwa kifupi serikali ya Tanganyika ikirudi itawashika pabaya sana, hizo hela mnazochezea na kufuja zitadhibitiwa na ndio zitakazotumika kuongozea tanganyika.

Tanganyika irudi kwanza, tutarekebisha mikataba mibovu yote mloingia.
 
Serikali 3 na gharama zake

Baada ya kuvunjika kwa bunge la katiba juu ya swala la muundo wa serikali, nachukua nafasi hii kutoa majibu ambayo kwa sababu zisizojulikana imeshindikana kabisa kuelezewa tofauti ya gharama baina ya serikali 2 na 3, gharama zipi zitaongozeka kulingana na mapendekezo ya rasimu ya tume ya Warioba.

Na sii lengo langu kujaribu kuukana ukweli kwamba Tanzania ya leo inahitaji serikali 3 isipokuwa kuwataarifu wananchi kuelewa jinsi gani muundo wa aina hii una mamlaka gani na unafanyaje kazi zake ktk utekelezaji wa majukumu wanayokabidhiwa kikatiba. Hii inatokana na mimi kuwasoma watu wengi kutofahamu Mamlaka ya tawala wa muundo huu ili serikali hizo ziweze kuwawakilisha wananchi wake haraka na kwa ufasaha zaidi. Hivyo lengo la kuzitaka serikali 3 linaonyesha wazi ni kutaka kutengenisha mambo ya Muungano na yasiyokuwa ya Muungano kwa bara kutokana na ukweli kwamba hadi sasa Mambo yote ya Muungano ni mambo ya bara sio ya Muungano badala ya kuziunda serikali ziwe karibu Zaidi na wananchi wake ktk utekelezaji wa matakwa yao.

Mara zote nimesikia wananchi wakidai kuwepo kwa seikali 2 hakuna tofauti ya gharama na serikali 3 na wakitumia sababu za mapngufu ya utawala uliopo ambao miaka yote baada yatangu 1984 tulipounda vyama vingi, kumekuwa na mkanganyika wa utawala ambao umewavuruga wananchi wasijue mamlaka ya vyombo vyao yana ukomo gani. Pia imewavuruga viongozi ambao kwa dhana wamekuwa wakiongeza mikoa wilaya na majibo kufikiria ndio njia rahisi ya kuwafikia wananchi wakati mamlaka bado yapo chini ya rais wa serikali kuu. Hivyo mitazamo yote hii imelenga zaidi hifadhi ya Utawala (kisiasa) kuliko sababu za ujenzi wa nyenzo za kuijenga nchi na wananchi wake ambao pia kw abahati mbaya wamevutwa katika zizi la Uchama na kupoteza Utaifa wao.
Ngoja niseme ukweli, Ukweli ni kwamba tunapoihitaji serikali ya 3 siyo serikali ya ya Tanganyika kama wanavyodai wanasiasa wengi ama wana taaluma wapambanaji isipokuwa tunaihitaji serikali ya Muungano ambayo haipo. Ukweli ni kwamba jina la Muungano lipo lakini hatuna seriikali ya Muungano toka mwaka 1984, niliwahi kulisema jhili na sasa limedhihirishwa ktk kongamano la jana. Imeelezwa katika kongamano la Mwl.Nyerere foundation ya kwamba hata hayo mambo tunayosema kuwa ni ya Muungano ni mambo ya serikali ya bara.

Hivyo mawaziri wote walioko ktk ushirika wa Muungano ni mawaziri wa serikali ya Tanganyika sio ya Muungano. Wajumbe hao walifikia hadi kuhoji ni lini wananchi wamewaona viongozi mawaziri wa Muungano wakitemebelea Zanzibar katika maswala ya Muungano?. Kwa hiyo tunazo serikali2 nazo ni serikali ya Zanzibar na serikali ya Tanganyika - Hatuna serikali ya Muungano!.. Ukweli ndio huo japo unauma.

Kwa hiyo basi ni muhimu tukubali kwamba tuchukulie kwamba hii serikali ya Muungano ni serikali ya bara, bunge lake, mahakama zake zote ni za bara, na ndio maana wapo wananchi wanahoji kuwepo kwa wabunge wa Zanzibar katika bunge la Muungano kujadili mambo yasokuwa ya Muungano bila kujua kwamba pale hakunamambo ya Muungano. Hivyo tunachokililia leo hii ni serikali ya Muungano sio Tanganyika maaa ipo.

Sasa swali linakuja - Tukiunda serikali ya 3 ya Muungano haitakuwa na gharama zake? Hizo ghrama zake ni nani atazihudumia? Na Je, bunge la serikali hii litakuwa na wajumbe wangapi, kutoka wapi na majimbo gani? Mishahara na posho zao zitagharamiwa na nani, watumishi wake watakuwa sehemu zote za Jamhuri au makao makuu tu na kadhalika… Hizi gharama za misafara ya rais ktk mialiko ya Kimataifa, mawaziri wake, mamlaka yake katika mipango ya maendeleo na kadhalika ndiyo maswala muhimu ya kujadili kuliko kuendelea kuidai Tanganyika ambayo ipo.

Je, nchi za wenzetu walokuwa na mfumo kama huu mamlaka ya uendeshaji wa shughuli za serikali zake umejengwa vipi na nini nafasi ya serikali kuu ktk ujenzi wa Mataifa hayo. Nini ukomo wa mamlaka ya serikali za nchi kuendea mamlaka ya serikali kuu juu ya jambo hilo hilo. Ikiwa Nchi inahitaji uwekezaji katika Kilimo, serikali kuu itahusika vipi tofauti na hizo za kila nchi.

Nafikiri hii inatosha kwa leo tutaendelea inapobidi baada ya michango yenu.

Wewe mbona unaonekana kama vile hujasoma randama? tafadhari hapa ni pa great thinkers!!! be serious!!!!
 
Dr Lipumba alitoa ufafanuzi mzuri sana wa namna ya gharama za Serikali tatu zikavyogawanywa bila kuongeza kwa kiwango kikubwa gharama za sasa za kuendesha Serikali mbili. Nadhani ufafanuzi wake utakuwepo hapa utafute ili uusome kwa kina.
 
Hizo hoja za pindaccm usituletee hapa tunataka mabadiliko ya nchi
 
Binafsi yangu hainishangazi hata kidogo kuona mchakato wa katiba umekwama na hakuna maelewano wala hayatakuwepo kwa sababu sisi wenyewe hapa JF ni reflection ya wajumbe wa baraza maalum la katiba, hatuelewani na wala hatutaelewana. Hivi Ndivyo Miafrika tulivyo na haishangazi hata kidogo kwa siku zote maisha yetu yapo katika majuto ni mjukuu. Hakuna swali hata moja lilopewa jibu, hakuna isipokuwa kuzungushana ati nenda kasome rasimu kana kwamba kule kuna majibu. Labda nyie wenyewe rudieni kuisoma rasimu kisha wekeni majibu mloyasoma maana mimi nimeuliza kutokana na rasimu yenyewe na kama unayajua majibu kuna tatizo gani kujibu.

Mimi nimechukua muda sana kutafakari swala hili na kukosa majibu ktk maswala ambayo nimeyaorodhesha hapo juu lakini badala ya watu kunipa majibu yamekuja maswali na maelezo ya kukebehi na kdhalika kwa sababu hata wao hawana majibu isipokuwa wanataka tu serikali 3 kwa sababu ya Ushabiki. Ni rahisi kabisa kujiuliza serikali yenye mambo 7 itakuwa ana bunge la aina gani? wabunge hao watatoka majimbo gani? na watazungumzia mambo yapi ktk maendeleo ya taifa zima.

Mimi sii mshabiki wa vyama wala sintokubali kuburuzwa na upande wowote isipokuwa kuelewa tunaingia ktk muundo ambao hautawagharimu wananchi walipa kodi. Hii habari ya kwamba fedha zipo hazina pasipo kujua hizo fedha ni kodi zenu na zipo pale kwa mautumizi ya mwaka huu ni upumbavu mkubwa kutumia sababu kama hizo kujenga hoja wakati leo hii hatuna serikali ya 3 wala fungu lilotengwa kwa minajiri hiyo. hata kama kuna surplus hazina bado haioneshi ni jinsi gani tutagharamia serikali hiyo kwa miaka 50 au 100 ijayo.

Wengine wamehoji kama nimeisoma rasimu ya katiba wakati wanajua fika kwamba rasimu hiyo haijakamilika, hata hiyo Sura ya sita ya rasimu inatoa tu mapendekezo ambayo ibara ya 2 na ya 3 zinazungumzia mihimili ya serikali hiyo pasipo namba za watumishi wake, muundo na madaraka ya serikali hiyo pia utategemea mamlaka ya serikali 2 za muungano (serikali ya Zanzibar na Ya Bara kufikia muafaka wake. Hakuna kikao chochote baina ya serikali ya bara wala visiwani (kwa sababu hazipo) walofikia kuanisha muundo na madaraka ya serikali hii ya 3 isipokuwa kuweka mambo 7 yatakayo kuwa na Muungano na rais ambaye hatakuwa na mamlaka juu ya mambo yasokuwa ya Muungano. Hivyo sio tu rais anaondolewa nguvu yake bali uanapunguziwa hata uwezo wa kuendesha nchi.

Ifahamike tu ya kwamba gharama za kuendesha serikali ni kodi za wananchi, huko hazina kuna makusanyo ya kodi kwa ajili ya matumizi ya serikali zilizopo na sii vinginevyo. Hata bajeti inaposomwa sio kwamba fedha hiz ziko hazina bali makadirio ya makusanyo na mapato ili kuweza kujenga matumizi ya mwaka unaofuata. Na kwa Zaidi ya miaka 20 serikali zetu hizi mbili zimekuwa zikitumia Zaidi ya makadirio, hivyo miaka yote kulikuwa na deficit iweje leo tuongeze serikali ya 3 ionekane rahisi kihivyo? Kwa gharama zozote zitakazo jitokeza ni kodi zenu wananchi ndizo zitaendesha serikali ya 3 hivyo ni muhimu wananchi wafahamu kwamba gharama za serikali ya 3 zitatoka mfukoni mwao na sii hazina maana kule hawavuni fedha.

Nitashukuru tu ikiwa kuna mmoja wenu ana majibu ya maswali nilouliza. Haya na Lipumba alisema nini ama Profesa Fulani hayajengi mjadala huu isipokuwa kuweka kiza zaidi. Maadam serikali ya Muungano itakuwa na serikali ya 3, itakuwa na bunge lake na mahakama yake ni lazima tujue kwanza muundo wa serikali hiyo na watumishi wake, gharama zake juu ya hizi zilizokuwepo. Kusema tu haitagharimu zaidi ni maneno tuloyazoea kwani misingi mingi ya mwalimu ilivunjwa huko nyuma na fikra kama hizi za ujuaji sana, lakini tumekuja kuyajutia na hatuwezi kurudi nyuma tena kusahihsiha. Hili ni moja kati ya hatari kubwa za sio tu kuuvunja muungano bali kuwepo maswali mengi yasiyokuwa na majibu sahihi lakini bado tunakazania iwe hivyo kwa sababu tu hatuipendi CCM. Sio kila alichokianzisha mwalimu kipigwe vita, hapana ni muhimu tuwe na majibu kamili kabla hatujachukua hatua zozote.

Kwa mfano Zanzibar ina watu mil.1.3 na bara tuna watu mil.45, ni kiasi gani cha kila serikali itachangia gharama za kuendesha serikali hii ya 3. Je, Tanzania bara itakuwa tayari kutoa asilimia 97.7 ya mchango wake kuendesha serikali hii ambayo kwa ujumla wake hawaihitaji? Tanzania bara na visiwani wakisha kuwa na serikali zao zenye mambo yoote makubwa isipokuwa saba ambayo wanaweza kuyaendesha wenyewe kwa nini kuwepo na Muungano? Kweli wananchi wa Tanzania bara wako tayari kugharamia asilimia hii ili kuuenzi muungano ambao ni gharama za ziada?

BAK, Ufafanuzi wa Lipumba ni maoni yake yeye ambayo sii rasimu hivyo kama wewe unayo mawazo hayo jenga hoja hapo nilipouliza kwa kuyajibu maswali yangu kupitia majibu yake. Jamani lini tutakuwa wakweli kwa nafsi zetu wenyewe? Kwa nini tunajenga mazoea ya Ubishi na hatutaki ku face ukweli pale tunapoona hatuna majibu? wewe nambie ulieweza nini kiasi kwamba unakubaliana na mapendekezo ya Lipumba na kama huyajui leo ina maana hujui..
 
Mkandara unaleta ubishi wa kitoto, Dr Lipumba ni mtaalamu aliyebobea katika mambo ya uchumi. Maoni ya Dr Lipumba yana uzito zaidi kuliko maoni yako wewe. Kwa mara nyingine kamsome tena umuelewe lakini kwa kuwa yeye ni UKAWA hutaki kabisa kumuelewa kwa sababu zako binafsi bali uko tayari kuzikubali namba za MACCM wenzio zenye hitimisho, "Gharama za Serikali tatu hazibebeki" ila gharama za ufisadi zinabebeka!!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu wangu wewe unajua alisema nini unaona shida gani kuyaweka hapa. Wewe sii uliridhika na majibu yake ina maana unayajua sasa iweje mimi nikatafute majibu wakati wewe ulikubaliana na majibu yake hii ina maana unayajua,unachoficha hapa ni kipi.

Hayo ya Maccm na ufisadi wake ni mada nyingine sijasema nakubaliana nao isipokuwa nahoji serikali 3 kama mwananchi ambaye ni mlipa kodi na najua kodi zetu zitaongezeka kugharamia serikali hiyo.
 
Sikushangai Mkandara kwa wewe kuhoji maoni ya Dr Lipumba, hivi ulikuwa hata unafuatilia BMK kabla ya UKAWA kujitoa? Sina huo muda wa kuanza kutafuta yaliyosemwa na Dr Lipumba kuhusu gharama za Serikali tatu, lakini kwa kuwa wewe ni mkongwe hapa najua unafahamu namna ya kutafuta habari za siku za nyuma.
 
Dah mkuu wangu wee wa ajabu sana. Kuna mahala nimesema nahoji maoni ya Lipumba? au nataka kuyajua! Maana nijuavyo mimi hata yeye hana majibu isipokuwa alichambua tu rasimu (BLK) maana katika mambo yale saba hakuna vyanzo vya mapato isipokuwa ushuru wa bidhaa zisizo za kodi. hakuna mahala tumeelezwa hiyo serikali itakuwa na bunge la ukubwa gani, watumishi wa serikali hiyo nakadhalika.

Hivyo kama alishauri kitu ndicho nachotaka kujua hizo fedha za mfuko wa pamoja unaodaiwa utatoka wapi kama sio kodi za wananchi? ni kueleweshana tu mkuu wangu sina zaidi. maswali yangu yako wazi kabisa unayo majibu yaweke hapa kisha tuendelee kwa kituo.
 
Mkuu wangu wewe unajua alisema nini unaona shida gani kuyaweka hapa. Wewe sii uliridhika na majibu yake ina maana unayajua sasa iweje mimi nikatafute majibu wakati wewe ulikubaliana na majibu yake hii ina maana unayajua,unachoficha hapa ni kipi.

Hayo ya Maccm na ufisadi wake ni mada nyingine sijasema nakubaliana nao isipokuwa nahoji serikali 3 kama mwananchi ambaye ni mlipa kodi na najua kodi zetu zitaongezeka kugharamia serikali hiyo.

Ofcourse gharama itaongezeka ila haitaongezeka kama watu wanavyosema sababu mambo ya muungano sio mengi na sio kwamba sasa hivi hayafanyiki.

Pili tukitenga tutajua ni pesa ipi inakwenda wapi na inafanya nini (kuongeza accountability) na sio necessarily kwamba kodi zitaongezeka sababu kuna option ya kupunguza matumizi yasiyo ya lazima AKA kufuja pesa hence kufunga mikanda kwa hawa wasaka utawala na kama pesa itakuwa ndogo basi hiyo misafara, posho, mishahara n.k. ndio itabidi ipungue kwa hao viongozi, ambao nadhani hawalazimishwi wakiona Siasa hailipi tena basi warudi kufanya shughuli nyingine

Cha kujiuliza ni kwamba faida ya Serikali Tatu ni kubwa au ndogo kulinganisha na faida inayopatikana in so called kuepuka gharama wakati hilo punguzo linaishia kwenye matumbo ya watu wanaojificha kwenye hii confusion ya sasa ?
 
Mkandara ndiyo maana kuna umuhimu wa kufuatilia kwa karibu kabla ya kuandika maoni yako hapa labda aliyoyasema Dr yangejibu baadhi ya maswali yako. Aliyoyasema nina hakika yako humu yatafute.
 
Last edited by a moderator:
Jazba na matusi haviwezi kuwa na nguvu katika ujenzi. Watu wanasema assume Zanzibar na Bara kwa amani kabisa wanakubaliana kuvunja "Mungano" - mtikisiko hakuna maana uendeshaji wa Bara hautakuwa na mabadiliko kama vile uendeshaji wa zanzibar ambavyo hautakuwa na mabadiliko - zaidi ni Bara aidha kuendelea kujiita Tanzania kama Egypt kuendelea kujiita UAR baada ya Mungano kufa au kujiita Tanganyika.

Assume zaidi kuwa nchi hizi bara na zanzibar wanakubaliana kwa mara ingine kuwa na Muungano lakini wenye mamlaka watakayokubaliana - sasa hapa ndo tupo katika kuiangalia mamlaka hiyo iweje na ijiendesheje vipi.

Sasa inaonekana kama ni dhambi kuichambua hii mamlaka inayokuwa suggested na Rasimu - usiguse haya ni maoni ya wananchi - jamani suggestion hiyo si vitabu vitakatifu. watu wanatoa povu kuitetea Rasimu kama vike ni alpha na omega - watu wasomi ambao wanajua fika hata nyaraka zao za kisomi walishapitia na kutoa critique kwenye maandiko kadhaa waliyoyapitia!!!!!!

Mamlaka hii mpya lazima ichambuliwe na kujadiliwa. Shuhudia Rasimu inazoziita CHANGAMOTO ZA SERIKALI TATU ni purely KILLING ASSUMPTIONS za kuisimika mamlaka hiyo ya tatu. Ni vyema wangezi state POSITIVELY hizo changamoto zisinge raise eyebrows.
 
Back
Top Bottom