Serikal tatu

kupunguza gharama makamo wa rais jmt ondoa hatokua na kazi yyt isipokua kutembea na mikasi
 
Ni Kubebesha wananchi mzigo tuuu, hapo kinachotakiwa ni kuboresha huo mfumo wa serikali mbili, yale mapungufu wayafanyie kazi tu, na wawe serious.
 
kama vip?
Hizo kodi zitakazopandishwa hapo ni nani ataumia kama sio sisi wananchi? Tuna serikali 2 lakini bado msamiati, je zikiwa tatu si itakuwa full majanga? Wananchi walipa kodi ndio watakaoumia, Marire kama hujui tutaumia kivipi kasome articles za uchumi wa Tanzania asilimia kubwa unaendeshwa na nini.
 
hizi tatu mara nne watajijua kama unajitutumua kutoa maoni then inakuepo last say ni bora ujilie zako dona na ganja siku ziende..
 
Ni Kubebesha wananchi mzigo tuuu, hapo kinachotakiwa ni kuboresha huo mfumo wa serikali mbili, yale mapungufu wayafanyie kazi tu, na wawe serious.

Miaka 50 wameshindwa kuuboresha wataweza leo.? You can't solve the problems in the same way that used and failed to solve. So we must use another way to solve all problems of our unity.
 
Ondoa makamu wa rais jmt na zanzibar na tanganyika zitakua na mawaziri wakuu hakuna raisi
 
Ni Kubebesha wananchi mzigo tuuu, hapo kinachotakiwa ni kuboresha huo mfumo wa serikali mbili, yale mapungufu wayafanyie kazi tu, na wawe serious.

Zitaje serikali mbili hizo kwa majina! Then I will come back to you for clarification, I know some issues will arise from your mention
 
Toa Makamo wa Rais wa JMT na weka Rais akitoka upande mmoja wa Muungamo basi Makamo wa Kwanza atatoka upande wa pili wa Muungano. Toa Waziri Mkuu ni moja ya GENGE la Walaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…