Series za kikorea

Yaani mimi ni chizi wa hizo movie,hadi ndugu zangu wananiita mkorea manake naweza hadi kuongea kikorea kidogo,wakiongea naweza kutafsiri baadhi ya maneno...nyimbo zao sasa nzuri sana jamani wenzetu wako vizuri sana
Na hizi ni movie ambazo ninazikubali hadi hua nalia nikiziangalia....jumong,the heirs,boys before flowers,queen second,the royal princess,baek dong soo,city hunter...n.k
 
Mkuu naomba link ninayoweza kuzopata kilaisi
 
oppa tufamiane ahjus.
yaani ni watamu halafu waigizaji ni vijana na zina subtitle unaelewa kama tamthilia ya kitabu.
ila 3 days tamu zaidi rais anawapotea usalama wa taifa na kila mtu hajui alipo.
 
Ni nzuri ila wanakomaa na stor moja kama imechezewa mjini lazma iwe na mambo ya maproscuter mara baba ana arestiwa na mwanae mara watoto walibadilishwa ndo story zao hizo na visasi vya miakaishirin iliyopita
 
Haizingui kweli maana kuna nyingine hazieleweki mara waweke episode 1 au 2...ngoja nitaijaribu

Hazizingui uzuri wamekuambia kabsa km ni completed drama or ongoing drana
 
Hazizingui uzuri wamekuambia kabsa km ni completed drama or ongoing drana

Jana nimejaribu nikaona process nyingi nikaachana nayo,niambie wewe huwa unaangalia vipi??
 
Jana nimejaribu nikaona process nyingi nikaachana nayo,niambie wewe huwa unaangalia vipi??

Kila episod moja imevunjwavunjwa na kuwa some parts lije part 1,2,3... ili ukiwa unastream isiwe inakwama kwama kwa sababu ya udogi wake na pale kuna links tofauti tifauti link moja ikizingua unaendelea na link nyingine...ukitaka kudownload install internet dowloader manager hii inadowload automatic once you play online....
 
Sasa hivi ninaangalia gu family book....ni nzuri pia
 
Nimewahi kuiona tho sikuipenda saana
 
Ni nzuri? Na inahusu nini kwa ufupi ili niitafute.!
ni nzuri yah and inachekesha kwa kiasi. inahusu huyu mdada na mkaka walifeki relationship ili kkumridhisha mamake huyo mwanaume kwasabab alitaka mwanae aowe..basii wakati wakufeki hyo relationship wakaishiaa kupata hisiaa....
 
Ok. Nikipata muda nitaicheki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…