Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 561
Kuna ex wangu anaipenda hii na ndie aliwahi niambia iyo series ni vipofu wote halafu mpya imetoka juzi hata mwezi haina..Kama wewe ni mpenzi wa series basi kwenye hii series kuna mtaalamu Jason momoa majamaa ni vipofu lakini wanahisi na uwezo mkubwa wa kusikia kama unapenda insane action humu wanakiwasha kweli
Na kuna vilain wakibabe sana asee nipo Episode 04 hapa
kuna jamii ya vipofu na pia kuna witchfinder wao wanaamini anayeona ni mchawiKuna ex wangu anaipenda hii na ndie aliwahi niambia iyo series ni vipofu wote halafu mpya imetoka juzi hata mwezi haina..
Ahaa, Kumbe ndiyo hiyo!?kuna jamii ya vipofu na pia kuna witchfinder wao wanaamini anayeona ni mchawi
Ni see au SAW!?Kama wewe ni mpenzi wa series basi kwenye hii series kuna mtaalamu Jason momoa majamaa ni vipofu lakini wanahisi na uwezo mkubwa wa kusikia kama unapenda insane action humu wanakiwasha kweli
hii ni moja ya series niliikubali kinoma naipa rate 9/10 very konki fire
Na kuna vilain wakibabe sana asee nipo Episode 04 hapa
SEENi see au SAW!?
SeeNi see au SAW!?
ya moto sanaHii series ni nomaa[emoji91]
Queen maghra Welcome to the house of kane [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Tamactic jon
game of throne nimeichek kidogo sana yaanYule jamaa KHAL DROGO wa GAME OF THRONE yupo humu .
Weka na copcorn pemben kabisaNaanza kuifukuzia.
Nielekeze vzr hii netnaija mkuu, ninayoingia mm sina hakika kama ndo yenyewe coz iko complicated sana na fully of advertisements.Nendeni Netnaija.com kule unakula maisha tu
Nawapenda wajinga wanakuwekea na subtitles hapohapo yaani huna haja ya kuangaikaNetnaija.com wapo vizuri hawa wapuuzi
Nielekeze mkuu au nipe link, niliyonayo naiona kama ni fake hvi haina kitu cha maana zaidi ya matangazo kibaoNawapenda wajinga wanakuwekea na subtitles hapohapo yaani huna haja ya kuangaika