Series (Special thread)

mkuu chige now naelewa maana yako kuwa "character" anatengenezwa na writter wa movie.... kweli waandishi wa 24 ni next level na wameniprove wrong aiseee..... 24 bila jack naona imeanza kuwezekana kabisa... this season will be lit
 
Hata mi sikudhania kwa kwel,kama jack atakuja mbele lakin huyu dogo wa kikurya ameonyesha uhodari sana,wa ndugu mi kwangu naipata episode mbili tu kwan inaendelea
 
Aiseeeeeeee 24 legacy ni noumeer, nimecheki hii episode ya kwanza kwakweli hawajakosea dogo Carter yupo vizuriiiii
 
Wakuu mi nahitaji complete series ya 24, designated survivor, Berlin Station, Homeland na The Unit. Niko tayari kununua. Kwa mwenye nazo anicheki
 
Series za kingereza ambazo ninazikubali ni Nikita, Revolution, Arrow, Person of Interest, Lost, Prison Break. Naweza hata kuzirudia
 
mkuu chige now naelewa maana yako kuwa "character" anatengenezwa na writter wa movie.... kweli waandishi wa 24 ni next level na wameniprove wrong aiseee..... 24 bila jack naona imeanza kuwezekana kabisa... this season will be lit
For sure sijawah ielewa 24 yenyew lakn hii legacy naomba niamn ni kali hatar naiweka level za kina shooter na designated
 
Wadau, habari, naomba msaada wa mwenye series ya The walking dead kuanzia season 1 episode 1 mpaka ilipofikia tafadhali, natanguliza shukrani
 
For sure sijawah ielewa 24 yenyew lakn hii legacy naomba niamn ni kali hatar naiweka level za kina shooter na designated
There is no way shooter au designated survivor ikaifikia hata robo 24. Shooter ilitakiwa iishe within 4 episodes,sema wakaidrag mbele hadi ikakera (kidogo)..
Kwene designated survivor wanaongea sana aisee. Kwene 24 jack hataki mchezo Na events occur in real time
 
mkuu chige now naelewa maana yako kuwa "character" anatengenezwa na writter wa movie.... kweli waandishi wa 24 ni next level na wameniprove wrong aiseee..... 24 bila jack naona imeanza kuwezekana kabisa... this season will be lit
Binafsi sijaiangalia na kwa sasa sitaki kuiangalia... nasubiri mzigo mzima ili ni-enjoy vizuri!!! Na kama ambavyo nilisema, sikuwa na wasi wasi kabisa kwamba bado itakuwa mzuri baada ya kuangalia production team, husani waandishi na director.

Hofu yangu ilikuwa moja! Kwenye movie/series kuna Character Driven story na Plot Driven (aka High Concept)! Ile ya Jack Bauer ni Character Driven na movie ambayo ni Character Driven, Character anaonekana sana kwa sababu yeye ndo chanzo cha matukio!! Lakini ingawaje Character ndo chanzo cha matukio, still hayo matukio yanatengenezwa na Mwandishi!

Kwenye Plot Driven, unaweza Character usimuone sana. Sasa nilisoma mahali kwamba Legacy ingekuwa Plot Driven. Lakini kwa kawaida, Plot Driven zinakuwaga tamu sana...
 
There is no way shooter au designated survivor ikaifikia hata robo 24. Shooter ilitakiwa iishe within 4 episodes,sema wakaidrag mbele hadi ikakera (kidogo)..
Kwene designated survivor wanaongea sana aisee. Kwene 24 jack hataki mchezo Na events occur in real time
24 babuuu ilikua Nouma,jack mbishi mbishi kwel kwel sio kwa oda ya rais au nan akihisi anafanya na matokeo tunayaona,,,kiukwel shooter mi naona ni moja ya series ambayo siwez tena kuifuatilia na nimeifutilia mbali kabsa,,,designated survivor imeanza vizr na story inaeleweka japo haina matukio sana lakin naiman mbelen itakua poa zaid na zaid,jack bour hajawah kuniangusha na kwa hii hatatuangusha...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom