Katika Series ambazo hazina logic na hii nadhani ni mojawapo.., kwanza lead actress ni boring and in my opinion she can not act, pili mtu anafanya revenge kwa mtu fulani lakini hio revenge eti anatumia mbinu zinazomuumiza yeye na watu wake wa karibu..
Hii series ilikuwa na a good story/plot mwanzoni ila nadhani baada ya kuwa famous watunzi wakairefusha na kuongeza story mbaka story haina sense tena.., sijui huko mbele ilikwendaje sababu mimi niliachia njiani.., na series nyingi zinakumbwa na huu upuuzi watunzi wanarefusha stories wakati mwanzo walipanga ziwe fupi, hii inasababishwa na TV Networks kuwaambia waongezee season kila mara wakiona series bado ina mashabiki.., na isipokuwa na Mashabiki hata kama series ni nzuri inakuwa cancelled hata kama story bado haijaisha.., The Event, na nyingine nyingi ambazo zinaishia kwenye cliff hanger ni mfano mzuri