Kwani ungeandika kiswahili ungepungukiwa nini?"A serial killer is a person who typically murders three or more people, usually in service of abnormal psychological gratification, with the murders taking place over more than a month and including a significant break (a "cooling off period") between them" according to google.
Umenichekesha mkuu. usikute alikuwa kwenye "cooling off period" ambayo anaweza kukaa hata miaka 20 hajauaNilipata kusikia kwa dada mmoja wakati fulani kuna mzungu alikuja basi yeye akawapeleka rafiki zake wakawa wavunja tu amri ya 6 ,yeye anachukua hela zake anasepa ,Mzungu alikuwa na pesa kweli kweli leo akilala Serena ,kesho Double tree ,kumbe jamaa alikuwa muuaji anatafutwa na hawa polisi wa dunia ,huyu anaye wauza wenzake akapigiwa simu na polisi wa dunia na wakaweka mtego wakamkamate mzungu ,sasa lile lizungu sijui ni FSB akapotea kwenye mazingira ya kutatanisha ,alikuwa anahusishwa na mauaji ya wanawake sio chini ya 50 popote aendapo duniani
Kilicho shangaza hawa dada zetu wa kibongo hakuwaua ,sijui alikutana na mtoto wa Kitanga anamuogesha na maji katia iliki na mdalasini ,mwili umechorwa hina atafuna kungu tu macho yamelegea akikuangalia kama akata roho ,K yaoshewa asali ,bafuni wabebwa mgongoni mweeee Tanga raha
Ila jeshi letu halina kitengo cha homicide na mambo ya forensic
Tafuta series inaitwa Dexter ni nzuri inahusu serial killer aliyekuwa anaishi double life
True!Ndio serial killer wapo wengi tu tz.
Mkuu hao hawapati raha katika kitendo hicho cha kuambukiza.wanapata raha ya kawaida ya sex.halafu from definition hawana cooling off period tofauti na serial killer.Hata mtu mwenye "ngoma" ambaye anaambukiza wenzake huku akijua fika anachokifanya,serial killer.
Basi tuwaite serial infectors😀Mkuu hao hawapati raha katika kitendo hicho cha kuambukiza.
Kwa maana kwamba wao wanakuwa hawana sababu ya msingi ila wanaona raha tu kuua?Mkuu hao hawapati raha katika kitendo hicho cha kuambukiza.wanapata raha ya kawaida ya sex.halafu from definition hawana cooling off period tofauti na serial killer.
Nilikuwa Mwenge na mzee mmoja akawa anaongelea hii story, alikuwa akiwaambia wasichana wasirubunike kwenda gesti (ata sikumbuki nilikuwa nafanya nini hapo Mwenge!), akisema kuwa kuna mdada mwili ulikutwa gesti, with some gory details-sijui utumbo umemwagika nje.... Why it stuck with me is that, baada ya hapo nilioona hii story in Alasiri au Kiu, not too sure which, but i believe i did see the story on a newspaper.Kwanini unakumbuka tu mauaji ya madadapoa waliouwawa na kutelekezwa nyumba za wageni?