kwa stail hii nikikutana na pikipiki ni kukimbia kabla hayajanikuta!!Lisa Rina, halafu sio Dar tu. kwa kumbu kumbu zangu kulingana na habari na matukio yaliyopita. Kule Zanzibar, yule padri Mushi kama sikosei aliuawa na mtu ama watu waliokuwa na pikipiki. Kisha baada ya muda tena kuna Padri jijini Mwanza akawa anafuatiliwa na mtu aliyekuwa na pikipiki kila sehemu aliyokwenda, ilikuwa bahati yake akaponea chupuchupu. sasa tena huko dar huyu jamaa wa pikipiki kaonekana, Lazima atakuwa anatekeleza mkakati maalumu.
mi naona umelia kama nyokaaisss!nimeishia kupiga mluzi tu!!
iyo folen ya dar utakimbilia wapi?kwa stail hii nikikutana na pikipiki ni kukimbia kabla hayajanikuta!!
mkuu ikibidi kuacha gari na kukimbia zigzag ya hatari!iyo folen ya dar utakimbilia wapi?
mkuu ikibidi kuacha gari na kukimbia zigzag ya hatari!
aaaah! Shomari!huyo body guard mwenyewe wanaweza kumtait!hivi zile nguo za kuzuia risasi hazipatikani hapa dar!!Kama siku ni yako utakwenda tu na maji, wauaji wenye pikipiki siku zote wakikutarget hautakuwa na pa kukimbilia, Labda uanze kutembea na bodigadi sasa.
aaaah! Shomari!huyo body guard mwenyewe wanaweza kumtait!hivi zile nguo za kuzuia risasi hazipatikani hapa dar!!
Madreva na abairia kwa ujumla ni kuwa makini wakati wanaendesha magari au kusafiri. Vioo vifungwe.
mkuu nimeipenda hii!ila yasije nikuta ya yule mama wa bagamoyo aliyeu jambazi na sasa majambazi yanamsaka!!maana ukiwa na hii kitu kuna wengine watakuwa wanakuwinda waichukue!!au unasemaje Shomari!Mkuu Zamaulid, kumbe uko serious eeh? basi ngoja nikupe tips za kujilinda. nenda kwa hawa jamaa utapata mahitaji yako.
https://www.facebook.com/pages/Tanganyika-Arms/194945157237024
Maybe just by leaving the scene of an accident when one of the protagonist is a thin light skinned male ridding a motorbike?How, use bullet proof vest? Pack heat too? Don't go outside? Avoid an accident with a motorcycle?
Be careful how?
makes sense...Maybe just by leaving the scene of an accident when one of the protagonist is a thin light skinned male ridding a motorbike?
ile unamalizia kusema "amina" unachungulia mtutu kwenye windshield.Lord have mercy on us!!
Mimi data za matukio yote mawili nimezipata. alieua kinondoni mkwajuni anaitwa ABUU ( kwani wakati wanarumbana kuna jamaa alipita akamuita Abuu vippi mambo madogo hayo malizaneni bana) nasikia kwao ni magomeni mapipa ni mwarabu walikua wamepakiana kwenye pikipiki na mwenzake (pikiki kubwa) wakakwaruzana na gari dogo wakaanguka ila hawakuumia. walipoamka wakaja kutaka kuelewana na dereva ili walipwe katika majibizano na manen ya dharau ya pande zote mbili huyo jamaa katoa bastoala katika kutaka kmtishia dereva lakini ngoma ikatoka .akaondoka speed akamuacha wmenzake nae sijui akapotomea vipi.
Yule alie muua dereva daladala walikua wabongo weusi wawili wamepakiana kwenye bodaboda. Dereva aliwabana kwenye foleni halafu akawazuia kupita. jamaa akabana bana mpaka wakapita wakaenda kusimama mbele yake. Jamaa aliyekua amebebwa akashuka yule mwenzake akaweka pikipiki barabarani.Jamaa akaja kumuuliza dereva kwanini unatufanyia hivi jamaa akawaka na kujisifu hamnifanyi chochote. pia hapa jamaa akatoa begi la mgongoni akatoa ngoma akakoki lakini pia nayo inaonekana alishindwa ukidhibiti ngoma ikatoka.
Fundisho la msingi hapa ni kwamba mtu yeyote usie mfahamu assumption ya kwanza wakati mna mgogoro ni kwamba assume ana Bastola. then handle him very carefully kwa sababu mi ninacho kiona hapa ni kwamba bastola au siraha yoyote ukishaikoki kuidhibiti ni ngumu ambapo kwa mtazamo wangu hawa jamaa huwa wana- intend kutishia huku wakiwa wamekoki halafu zinawaponyoka ( inaonekana ni kokasa uzoefu)
Asanteni