Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,999
- 1,187
Jana nimeona mtu mmoja akanikumbusha story hii, thank God nilikuwa nimeisikia kwenye power breakfast.
Huyu alikuwa kwenye bajaj nyekundu, amesimama mlangoni kwa bajaj so yuko kama nje tu
Kashika panga kuubwa, bajaj inaendeshwa rough, na haisimami
Ukikataa kuipa upenyo huyo aliyesimama anakunyooshea panga
Nilibaki na maswali kw kweli, ilikuwa mbaya kwa macho ile scene.
Amani ya Tanzania ilishakwisha. Sasa hata ule utulivu nao unatoweka.
Polisi wa upelelezi wako bize na habari za ponda na Chadema!!
Jana nimeona mtu mmoja akanikumbusha story hii, thank God nilikuwa nimeisikia kwenye power breakfast.
Huyu alikuwa kwenye bajaj nyekundu, amesimama mlangoni kwa bajaj so yuko kama nje tu
Kashika panga kuubwa, bajaj inaendeshwa rough, na haisimami
Ukikataa kuipa upenyo huyo aliyesimama anakunyooshea panga
Nilibaki na maswali kw kweli, ilikuwa mbaya kwa macho ile scene.
Hivi matukio haya mawili yanahusisha muuaji mmoja? Kama ni hivyo motive yake hasa ni nini?
Mbaya sana, sijui jeuri alipata wapi
Madreva na abairia kwa ujumla ni kuwa makini wakati wanaendesha magari au kusafiri. Vioo vifungwe.
Lisa Rina, halafu sio Dar tu. kwa kumbu kumbu zangu kulingana na habari na matukio yaliyopita. Kule Zanzibar, yule padri Mushi kama sikosei aliuawa na mtu ama watu waliokuwa na pikipiki. Kisha baada ya muda tena kuna Padri jijini Mwanza akawa anafuatiliwa na mtu aliyekuwa na pikipiki kila sehemu aliyokwenda, ilikuwa bahati yake akaponea chupuchupu. sasa tena huko dar huyu jamaa wa pikipiki kaonekana, Lazima atakuwa anatekeleza mkakati maalumu.Sending As Received! Please be careful out there!
There appears to be a serial killer in Dar. He just did it again. Shot a driver in the neck and the unfortunate driver died instantly at kinondoni, the road between mkwajuni and magomeni. He did the same thing the day before yesterday at bagamoyo road. He is said to be light skinned and drives a motorbike. Please be careful as you drive since this man will purposely cause an accident and then pulls out a gun and kills the driver of vehicle. Kindly Send this to the ones you care for...
CCM inatuharibia nchi kwa tamaa zao ya madaraka.
Madreva na abairia kwa ujumla ni kuwa makini wakati wanaendesha magari au kusafiri. Vioo vifungwe.
aisss!nimeishia kupiga mluzi tu!!Hapana,
Wanatumiaga hili hapa