wakuu mkumbuke kama wiki tu iliyopita dereva wa dala dala alippigwa risasi na kijana huyu pia pia mwishoni mwa wiki iliyopita pia kuja jamaa alipigwa risasi bagamoyo road kwa staili hiyo hiyo sasa jana pia ikawa hivi
Kuna muwaji ameibuka jijini Dar kwa sasa, leo ameuwa mtu mmoja maeneo ya Kinondoni. Amempiga risasi ya kifua Mtu mmoja ndani ya gari alilokuwa anaendeshawa kwenye Barabara ya Kinondoni, katikati ya Mkwajuni na Magomeni.
Tukio kama hilo lilitokea Juzi kwenye Barabara ya Bagamoyo, Muuwaji huyo ni mwembamba na huendesha Pikipiki.
Ni vyema mkawa makini mnapokuwa mnaendesha Magari, maana chanzo chake kikuu huwa ni kusababisha Ajali na punde unapoanzisha mabishano nae huamua kutoa Bastola na kumpiga risasi Dereva.
Tafadhali, tusaidiane kusambaza ujumbe huu kwa wote tunaowajali na kuwapenda......
KIFUPI TANZANIA HATUNA POLISI WAMEKALIA SIASA TU HUKU WANANCHI TUNATESEKA TU
Wana usalama wanalinda usalama wa CCM dhidi ya CHADEMA. Kazi tunayo mwaka huu.Na hivi wanausalama wetu wako busy na CHADEMA, kwisha habari yetu
Na hivi wanausalama wetu wako busy na CHADEMA, kwisha habari yetu
Hilo ni kweli, tusipoangalia tutafikia pabaya
Yule muuaji mwingine aliyekuwa anawachukua wake za watu anaenda kuwaulia guest kwa kuwachoma kisu cha shingoni imeishia wapi?
How, use bullet proof vest? Pack heat too? Don't go outside? Avoid an accident with a motorcycle?Please be careful out there!
Please be careful as you drive
Khaaaaa, wewe vipi. Mbona tumefika pabaya toka alipochaguliwa tena Kikwete.
Yule muuaji mwingine aliyekuwa anawachukua wake za watu anaenda kuwaulia guest kwa kuwachoma kisu cha shingoni imeishia wapi?
wala hafiki mbali, atakufa very soon
Alishakamatwa na yuko segerea....sad enough ni mgonjwa wa ukimwi na alisema anafanya hivyo kwa kuwa wanawake wamemuambukiza ukimwi so analipiza
ina maana Dr. JK ndio anayaleta haya?