Serengeti: Wafu wanafunga ndoa na wanawake walio hai

Serengeti: Wafu wanafunga ndoa na wanawake walio hai

Unaweza kuoa mwanamke wa kaburi kutoka ukuryani.. Hilo kabila ni zaidi ya shida
 
Mkoa MZIMA wa Mara unatia fora kwa unyanyasaji wa wanawake. Alafu Akina Heche wanapiga piga siasa badala ya kuelimisha vidume uchwara ktk majimbo yao waachane na unyanyasaji.
Acha uzwazwa wewe mkoa umehusikaje hapo
 
ivi unaanzaje kumtaja heche badala ya judge mkuu?
Heche ndo mwanasiasa anayejidai ni mbabe wa Magu, wakati wanaume wenzake huko Mara wanaoyanyasa dada zake wamemshidwa. Isitoshe pia Heche kila akiropoka anajidai ndo kazi yake kama mwakilishi wa hao vidume uchwara vinavyonyanyasa wake na mabinti zao.
 
kabisa...mkuu kipaumbele chao nikuzalisha mazoba wengi iliwaendelee kutawala
MKOA WA MARA ni ngome ya CHADEMA jamani, hasa kule kwa wenye elimu duni na wenyekupenda ubabe wa kupiga wake zao kama Serengeti na ukuryani. Wabunge wao kama sio wakenya ni wa Chadema.
 
Watu Hao wakipewa elimu Lumumba FC watakula wapi wakati Hao Ndio mtaji wao
Tusiwasingizie wa Lumumba.
MKOA WA MARA ni ngome ya CHADEMA jamani, hasa kule kwa wenye elimu duni na wenyekupenda ubabe wa kupiga wake zao kama Serengeti na ukuryani. Wabunge wao kama sio wakenya ni wa Chadema.
 
ni mkoa pekee wenye kila maajabu na unyanyasaji wa binaadamu uliopitiliza. Eti, MWANAMKE KUOA MWANANUME NA MWANAMKE MWENZAKE WAMZALIE WATOTO!
 
Back
Top Bottom