Serengeti kutamu, ona hii

Cheatah a.k.a Duma wanazoea Watu kirahisi sana, tatizo ni Chui bana.

Na ujue kuwatofautisha, maana leo unacheka na Duma, kesho anakuja Chui unaanza tena kukenua ukidhani ni yule wa jana, ata kusuprise.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atakusuprise
 
Njia rahisi zaidi ya kuwatofautisha ni maumbo, Duma mwembaba mrefu ili hali Chui mfupi na ameshiba.

Duma hukakaa sana hadharani wakati jamaa yule ni mzee wa chimbo sana, Wazungu wanatumia neno "shy"...kwa hiyo ukikatiza porini ukamuona jamaa yupo juu ya kichuguu confortable huyo ni Duma.

Chui huishi kipekee pekee, tofauti na Duma huweza kuwakuta wawili, watatu, wanne n.k.
 
Maelezo yameshiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…