SERENGETI: Basi la Kimotco lasombwa na maji, watu wanne wamejeruhiwa

jembe afrika

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,604
3,753
Basi la kampuni ya KIMOTCO lililokua linatoka Musoma kwenda Arusha kupitia Mugumu, limepata ajali katika mto wenye viboko ndani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti.

Maji yamesababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha hifadhini.
KIMOTCO.png
 
Pole kwa wahanga. Tusipokuwa makini na hizi mvua za mwaka huu, zitatuachia maafa mengi.
 
Back
Top Bottom