Mbona unajihami mdogo wangu?
Kuwa mpole, hizo ni dhana tu za watu, kila mtu ana uhuru wa kuamini anachotaka bila kuitwa Mpumbavu,..
Hii mambo ya FreeManson kila mtu ana tafsiri yake, Binafsi huwa napuuza tu...
Wengine wanaweza kuja na mtazamo kuwa Ivuga ni Shoga, utagombana na wangapi??