Serena Williams ashinda French Open 2013!

Sharapova kashindwa kumfunga Serena leo at 31 yrs old, sidhani kama atapata chance tena. (Miss William became the oldest woman to win a major title since Navartilova in 1990 at 33yrs old).
Maria hajawahi kumfunga Serena tangu 2004, na wiki kama 2 zilizopita alipigwa nadhani kwenye fainali ya Madrid Open.
Mechi ya jana haikua rahisi kiukweli maana Maria alishinda break-points nyingi na alianza 2-0 ktk seti ya kwanza but Serena was calm as fvck maana anajua Mrusi angechemsha mbele ya safari. Maria ange-combine power & control angeweza kummudu Serena, lakini she chose power, power and more power and ended to make countless errors.
 
Unajua nlikaa naangalia hii mechi, katikati ya mapaja ya Serena hizo plasta zinashika pampers au ni nini nikashindwa kupata jibu :sad:

Unajua hata mimi niliwahi kujiaminisha kuwa serana huwa haoni siku zake. Kumbe naye ni mwanamke
 
Groin kivipi mwana, mbona kwa nyuma hazipo?

kwa nyuma hazipo coz hamna GROIN MUSCLES[zipo kwenye makwapa ya miguu]....kazi yake ni kuvuta femur na knee towards the midline....sasa hizo plaster zinaongeza strength to avoid pulling the muscle when she splits her legs during defensive moves.....nafikiri umemuona mara kadhhaa akipiga msamba......
 
Huyu Dada kuna mwaka nilimchumbia ila wazazi wangu wakaniambia nisimuoe coz hajui kupika...
Basi nkaachana nae

Sasa wewe ni yupi Kati ya Sasha Vujacic na Grigor Dimitrov ?

Baadae Raphael Nadal atamfunga David Ferrer set 3 kwa 0
 
Hah hah haaah mkuu angalia.
Maana Juve2012 nimeshamkuta anakunywa nae Azam Malta pale Dagaa Dagaa...
Asa usije ukalea mtoto wa mwana Dele Alpi mwezio

Khah!!! Juve2012 huyuhuyu au mwingine? Na kweli bana Maria toka apate kitumbo anakunywa sana hizo Azam Malta, kwa siku anaweza kunywa 12 mpaka 15

NtamPM right away halafu huyu mama itabidi achukiliwe vipimo vya DNA lakini hiyo itategemeana sana na maelezo ya Juve2012!
 
Back
Top Bottom