Serekali ya Zanzibar SMZ imetowa siku 3 za maombolezi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serekali ya Zanzibar SMZ imetowa siku 3 za maombolezi.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Jul 19, 2012.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Maiti tatu zaongezeka

  Posted on July 19, 2012 by zanzibaryetu
  Reply
  [​IMG]

  Naibu Amir wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Sheikh Azzan Khalid Hamdan akiwa na baadhi ya mawaziri wakisubiri utaratibu wa serikali wa kuwazika maiti ambazo hazijatambuliwa na jamaa zao  Posted in Uncategorized | Leave a replymiili ya watoto waliofariki

  Posted on July 19, 2012 by zanzibaryetu
  Reply
  [​IMG]

  Miili ya watoto wadogo ikisubiriwa kutambuliwa katika uwanja wa maisara ambapo bado umati mkubwa umekusanyika kusubiri kutambua maiti zao  Posted in Uncategorized | Leave a replyMaiti 31 majeruhi 136 na 123 wamepotea

  Posted on July 18, 2012 by zanzibaryetu
  3
  [​IMG]Miili ya watu waliofariki leo katika ajali ya meli inayomilikiwa na Seagull

  Mpaka saa za magharibi hivi leo, idadi ya watu waliookolewa 136 na maiti 31 wamepatikana, wakiwemo watu wazima 24 akiwemo raia wa kigeni mmoja na watoto 7. Jumla ya watu 123 bado hawajaonekana. Juhudi za uokozi ziliendelea hadi kuingia giza na zitaendelea mara kukipambuzuka. Hali ya bahari ilikuwa mbaya wakati huo na meli hiyo ilipinduka katika mawimbi makubwa. Continue reading →


  Posted in Uncategorized | 3 RepliesMsiba mwengine Zanzibar

  Posted on July 18, 2012 by zanzibaryetu
  3
  [​IMG]Baadhi ya abiria ambayo wameokolewa katika meli inayomilikiwa na Seagull iliyobiruka katika eneo la bahari karibu na Chumbe
   
Loading...