• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Serekali Ya CCM Kipaumbele Chao kwa sasa Ni Lissu Sio Viwanda tena

Kibo10

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
11,289
Points
2,000
Kibo10

Kibo10

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
11,289 2,000
Ccm walipokuwa wanaomba kura walinadi ilani yao na kipaumbele chao kilikuwa viwanda.
Cha kushangaza sasa hivi hii serekali ya Ccm kipaumbele chao kimegeuka ni Lissu na sio viwanda tena.
Endapo serekali hii ya ccm itaendelea kumfanya Tundu lissu ndio kipaumbele chao.Ifikapo 2020 hata kiwanda cha kukamua alizeti watakuwa hawajajenga.
 
hazole1

hazole1

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Messages
4,318
Points
2,000
hazole1

hazole1

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2015
4,318 2,000
Ccm ni kiwanda cha fitina.
 
M

mwayena

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2016
Messages
2,406
Points
2,000
M

mwayena

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2016
2,406 2,000
Na hawamuwezi tayari yupo ukumbini arusha
 
Country-boy

Country-boy

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Messages
332
Points
225
Country-boy

Country-boy

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2014
332 225
Ccm walipokuwa wanaomba kura walinadi ilani yao na kipaumbele chao kilikuwa viwanda.
Cha kushangaza sasa hivi hii serekali ya Ccm kipaumbele chao kimegeuka ni Lissu na sio viwanda tena.
Endapo serekali hii ya ccm itaendelea kumfanya Tundu lissu ndio kipaumbele chao.Ifikapo 2020 hata kiwanda cha kukamua alizeti watakuwa hawajajenga.
Hatari sana wameshabadili kipaombele chao juu kwa juu
 
Forum statistics

Threads 1,402,664
Members 530,964
Posts 34,401,569
Top