Augustino Fanuel Massongo
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 1,278
- 666
Ndugu wanajamii, ni kwa muda mrefu sasa nchi yetu imekua ikishuhudia kuongezeka kwa migogoro kati ya wakulima na wafugaji, swali ambalo najiuliza binafsi Is a Maasai brotherhood above the laws? kwani jamii ya wafugaji wa kimaasi ime-SWEEP karibu sehemu kubwa ya nchi na kila sehemu ya nchi wakifika wao ndio kwa sehemu kubwa wamekuwa chanzo cha migogoro baina yao na jamii zingine hasa za wakulima.
Mara nyingi ukifuatilia hatua za utatuzi wa migogoro hii zinazochukuliwa na mamlaka husika za kiserekali utagundua kuwa hakuna nia ya dhati ya kumaliza tatizo hili na viongozi wengi wa mamlaka za kiserikali they are not SPIRITED to solve the matter na hivyo mara nyingi hutoa maamuzi through political and social approach huku wakikwepa ukweli uliowazi kuwa katika migogoro mingi ya aina hii jamii ya wafugaji wa kimaasai ndio chazo cha migogoro kwani kila mahali wanapofika hulazimisha malisho katika mazao ya wakulima na hata katika vyanzo vya maji nk,
Sasa serikali inapaswa kukumbuka kuwa socialwise vurugu ni hulka za wamaasi hivyo mtazamo wanaowapa hautakaa uwafanye waheshimu watu wengine hasa jamii za wakulima, upendeleo wa dhahiri wanaopewa wafugaji wa ki-maasai unanifanya nifikiri moyoni mwangu kuwa serikali haina nia ya dhati kuwalinda wakulma dhidi ya wafugaji wa kimaasii. Maisha ni zaidi ya mifugo.